Beyonce: Nguo hazinipendezi tena

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,124
BEYONCE: MAVAZI HAYANIPENDEZI KWA SASA

LOS ANGELES, MAREKANI

Beyonce-235x300.jpg

NYOTA wa muziki nchini Marekani, mke wa rapa Jay Z, Beyonce, amefunguka kwamba ujauzito wake unamfanya asipendeze na mavazi anayoyavaa.

Mrembo huyo, ambaye anatarajia watoto wawili mapacha, juzi alitoka na mume wake, Jay Z na kuhudhuria sherehe za Wearable Art Gala, mjini Los Angeles, ambapo mashabiki wake wengi walionekana wakimshangaa.

Beyonce anaamini mashabiki hao walikuwa wanamshangaa mwonekano wake wa mavazi ulivyo kwa sasa, hasa kutokana na ujauzito.

“Mashabiki wengi wanajua kuwa nina ujauzito, ila ninaamini kunishangaa kwao si kwa kuwa nina ujauzito, ila ni kutokana na mwonekano wa nguo zangu kwa sasa, nadhani haupendezi na ndiyo maana wananitolea macho sana,” alisema Beyonce.
 
He that loves "GLASS" without "G", take away "L" and that is him!
Angelitaka mtoto bila kubeba mimba angetafuta "surrogate mothers". Sasa anabeba mimba tena ya mapacha afu anataka bado awe na figure ya models? Poor lady; she has no idea you cannot have your cake and eat it too!
 
Umeona eeh! Badala ya kushukuru Mungu kawajalia yeye anaangalia kupendeza! Kuna wengi wanatafuta mtoto mmoja tu hata wa dawa hawaambulii kitu pamoja na kutumia mamilioni ya pesa.

He that loves "GLASS" without "G", take away "L" and that is him!
Angelitaka mtoto bila kubeba mimba angetafuta "surrogate mothers". Sasa anabeba mimba tena ya mapacha afu anataka bado awe na figure ya models? Poor lady; she has no idea you cannot have your cake and eat eat too!
 
Umeona eeh! Badala ya kushukuru Mungu kawajalia yeye anaangalia kupendeza! Kuna wengi wanatafuta mtoto mmoja tu hata wa dawa hawaambulii kitu pamoja na kutumia mamilioni ya pesa.
Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.
 
He that loves "GLASS" without "G", take away "L" and that is him!
Angelitaka mtoto bila kubeba mimba angetafuta "surrogate mothers". Sasa anabeba mimba tena ya mapacha afu anataka bado awe na figure ya models? Poor lady; she has no idea you cannot have your cake and eat it too!

hapo kwenye rangi sijaelewa...

mtoto wangu anaangalia animated movie inayoitwa MR. PEABODY AND SHERMAN

kuna mahali wakiwa kwenye french revolution anamuambia hayo maneno...

mimi nilikimbia umande
 
hapo kwenye rangi sijaelewa...

mtoto wangu anaangalia animated movie inayoitwa MR. PEABODY AND SHERMAN

kuna mahali wakiwa kwenye french revolution anamuambia hayo maneno...

mimi nilikimbia umande
Mkuu Aleppo pole kwa "kukimbia umande". Maana ya maneno "You cannot have your cake and eat it too" ni kwamba huwezi kupenda mambo mawili yanayopinganga kwa wakati mmoja. Unaupenda mwonekano wa keki ulopewa na unataka uendelee kuiangalia hivi hivi na rangi zake na wakati huo huo unapenda kusikia muonjo wa ladha yake wakati ukiitafuna na kuimeza! Haya mambo mawili hayaendani; au uile (uikose) au uwe nayo (uendelee kuiangalia). You cannot have it and eat it too! ("too" hapa inamaanisha "at the same time"). Umenisoma?
 
Mbona ile mimba ya kwanza hakulalamika!kwa kauli hii naanza kuamini ile mimba hakubeba mwenyewe,alibebewa
Umeona eeh! Badala ya kushukuru Mungu kawajalia yeye anaangalia kupendeza! Kuna wengi wanatafuta mtoto mmoja tu hata wa dawa hawaambulii kitu pamoja na kutumia mamilioni ya pesa.
 
hapo kwenye rangi sijaelewa...

mtoto wangu anaangalia animated movie inayoitwa MR. PEABODY AND SHERMAN

kuna mahali wakiwa kwenye french revolution anamuambia hayo maneno...

mimi nilikimbia umande
U have to choose kati ya kuila au kubaki nayo cake. Beyonce hawez kutaka kuwa na umbo la model wakati ni mjamzito. Achague moja
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Beyoncé is like Kim kardashian both of them think the world
revolves around them.

Beyoncé got the whole media sucking a fart out of her ringhole

Kim got the whole media sucking a
fart out of her ringhole..

Both of them have a lot of "look at me, look at me" moments.

Didn't Beyoncé dressed like a Goddess the other day and had everyone in that building bow dowing to her?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom