Beware when having SEX!

FirstLady1 moyo umetulia kugundua kumbe upo...usije ukawa unalinda mipaka huko kusini....watu wanawinda boti na ndege,khaa!

Nipo Ndahani sema kila siku zinavyoenda ndivyo majukumu yanaongezeka...
Hope hapa ni salama kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Babu DC nan kakwambia zawadi ninazo aina moja?

ww njoo hata kama kibogoyo nasaga nyama. mwaaaah!
 
Oooh sweet nipo hapa mamito...naangalia angali hali yako iwe njema. Mambo mengine ntayafanya kwa siri kabisa, don't worry


:wacko: :shock: :biggrin: :A S-heart-2: :whoo: :hug: :mwaaah: siamini yaaaaaani!
 


teh teh teh. mamito unadhani basi clinic iko mbali basi?

ipo tu hapo jf doctor, mambo yote pale kila liungojwa latibiwa.

wanavifaa ambavo vinatabiri na kuweza toa picha ya future, ndio mana hao pachaz umeona.
 
Babu DC nan kakwambia zawadi ninazo aina moja?

ww njoo hata kama kibogoyo nasaga nyama. mwaaaah!

Nashukuru sana Erotica kwa roho yako nzuri ya kutaka kuwapunguzia tension hata wale tuliopitwa na wakati!!

Ila naomba nikujulishe tu kuwa hata kwa kutumia caterpillar kwako siwezi kuja....Najipenda mie!!

Babu DC!!
 
Wadogo huwa ni watundu wanasikia kila kitu in those thin wall of yours,
hapa bahati hawajaona wamesikia. wanajua sex syle ya kokroach death na kuwa
mwanaume anakuwa juu, ila hawajui juu wapi. teh teh teh.

hapa bora tu muwape hili darasa mapemaaaaa
 
teh teh teh. mamito unadhani basi clinic iko mbali basi?

ipo tu hapo jf doctor, mambo yote pale kila liungojwa latibiwa.

wanavifaa ambavo vinatabiri na kuweza toa picha ya future, ndio mana hao pachaz umeona.

Kama huko madaktari huwa hawagomi itabidi niende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…