There is an obnoxious odour in various parts of Dar es salaam. It smells like ampicciln affected urine and it is terrible. I am sick but I got immediately up to investigate the matter. Kindly, all those with internet should come up and clear the air if this is safe or not and what should the people do ?
Don't understand. Which areaa a u? Why intetnet ?
Ukweli ni kwamba karibu mji mzima unanuka mkojo na vinyesi (unless kama unaishi DSM kwa muda mrefu .. inakuwa vigumu kunotice). Kwa mfano unaposhuka Airport unapokelewa na harufu ya mikojo na vinyesi. Vituo vya mabasi, treni, mahoteli yote (ukitoa labda kubwa kubwa), mabaa, karibu mitaa yote hali ni hiyo hiyo.
yeah kweli. hata mie ni mhanga wa hii kitu: majuzi-kati nilikimbia/nilihama (nikahamia nyumba ya muislamu na hakuna ugomvi japo mimi ni mkristo) nyumba niliyoishi zaidi ya mwaka kutokana na harufu kali iliyokuwa inapiga kitandani moja kwa moja. yaani ni kero. joto kali dar lakini nilikuwa sithubutu kufungua pazia za madirisha kwa sababu kufanya hivyo ni sawa na kufungulia tundu la choo.
kwa ufupi Dar inanuka. mlioko mikoani kaeni huko huko.
mjomba usije mjini.
Hapo kwenye red umeniacha!!! Inamaana wakristo wana ka smell fulani????yeah kweli. hata mie ni mhanga wa hii kitu: majuzi-kati nilikimbia/nilihama (nikahamia nyumba ya muislamu na hakuna ugomvi japo mimi ni mkristo) nyumba niliyoishi zaidi ya mwaka kutokana na harufu kali iliyokuwa inapiga kitandani moja kwa moja. yaani ni kero. joto kali dar lakini nilikuwa sithubutu kufungua pazia za madirisha kwa sababu kufanya hivyo ni sawa na kufungulia tundu la choo.
kwa ufupi Dar inanuka. mlioko mikoani kaeni huko huko.
mjomba usije mjini.
:A S thumbs_down: siji ng'o. Nipo hapa Sao Hill upepo bariiiiiiiiiidi hadi raha.
Duh, Dar nyumba zinanuka isipokuwa ya muislam.
Natafuta nyumba ya muislam nipange kuondokana na adha ya harufu mbaya.
Mkuu ni kweli kuna hali isyoelezeka kwa sasa... sijui ni sumu au mtu anachoma dawa au nini...There is an obnoxious odour in various parts of Dar es salaam. It smells like ampicciln affected urine and it is terrible. I am sick but I got immediately up to investigate the matter. Kindly, all those with internet should come up and clear the air if this is safe or not and what should the people do ?
There is an obnoxious odour in various parts of Dar es salaam. It smells like ampicciln affected urine and it is terrible. I am sick but I got immediately up to investigate the matter. Kindly, all those with internet should come up and clear the air if this is safe or not and what should the people do ?