Beware Matapeli hawa

Rosemarym Mwakitwange

Verified Member
Sep 10, 2016
63
150
Tangazo Muhimu, kuna Matapeli wawili wamejitokeza mmoja anaitwa Selina anatuambia Simu Namba 0655514088 jina lililiandikishwa ni Selina Michael. Yeye Ana mwenzake anaitwa Margaret Michael japo ni sauti ya kiume wanakupigia kutuambia habari ya biashara ya Shabu, https://www.jamiiforums.comakijidai wanatokea Tanapa Arusha. Naomba Tanapa washughulie jina Lao linatumika Na hao Matapeli bibaya
 
Nilishau kumuomgeza mwenzake ambaye Ndio ali pose Kama Kaka mwenye kuja kununua hiyo Shabu immediately baada ya huyo Selina kutuma text Kuwa atanipigia Simu Mtu Ana deal ya hela Kubwa nisimsahau, tapeli Mwanafunzi akanipigia Kwa Namba 0783545 777 akijifanya ananijua sana Na Kuwa anaona nawahi kazini, Na kuanza kunisomesha juu ya tender feki ya visima Dodoma Mpya, wala siku poteza Muda nikamkumbusha tu kuwa mtoto wa Mjini hafundishwi kuvuka Barabara, nilipowaambia search nikajua Simu imeansikishwa jina Elizabeth Andrea . Naomba Sana Airtel Na tigo wako humu ndani wazi funga hizo Simu mara huyo Margaret anadai Kuwa ni kaka wa Selina, can you imagine how stupid he is, a Margaret in a man. Tafadhali Hizi phone companies zichukue hatua mara moja Na kutoa feedback ili kulinda usalama wa watumiajimwake,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom