Esperance
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 364
- 84
Mind 2gv a more brief xplanatn?
Hii tabia ya kuandika kisharobaro sio nzuri , why usiandike inavyotakiwa??? Hapa ni jamvini sio unamtext girlfriend/boyfriend wako.:angry::angry:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mind 2gv a more brief xplanatn?
Hii tabia ya kuandika kisharobaro sio nzuri , why usiandike inavyotakiwa??? Hapa ni jamvini sio unamtext girlfriend/boyfriend wako.:angry::angry:
Mzeewaloliondo, I think I cheat more than my Girlfriend. but That doesn't mean all men are cheating like me!
Tusijifanye kurefusha stori. Wanaume tunachit zaidi banaaa....
Ni kweli kabisa hakuna mwanamke anaemua tu kutoka nje bila sababu ila wenzetu wakati mwingine hawana hata sababuHii ishu watu hawaiangalii kwa undani bali hupapasapapasa tu.Ugonjwa unapojitokeza huwezi kuushinda bila kujua chanzo.Ukiona mtu ana homa ukaanza kumpa asprin/panadol tu bila kupima ukajua ni malaria au typhoid unajidanganya.
Pa kuanzia, badala ya kushindanisha nani anatoka zaidi, ingekuwa mimi mwanzisha mada ningeomba watu wajitokeze na kutoa maoni au hata uzoefu wao kuhusu nini kiliwasukuma kutoka nje ya mauhusiano.
Nijuavyo mimi mwanamke kwa kawaida hatoki bila sababu kubwa sana ya msingi.Mwanamke akipata mtu committed hubaki naye bila kupepesa macho nje na wala hatashawishika kirahisi. Nimeongea kama mwanamke. Najua (kwa kuskia) kwamba wanaume hutoka kwa sababu ya tamaa walizo nazo zaidi hata kama wanakuwa na mwanamke committed.Wajisemee wao wenyewe
If only that was true!Hamna cha wanawake hawatoki bila sababu wala wanaume wanatoka!Pande zina watu wasiohitaji sababu kufanya madudu yao!Ni kweli kabisa hakuna mwanamke anaemua tu kutoka nje bila sababu