Wakuu simu yangu tajwa inatatizo upande wa betri. Kwan inakaa muda mfupi tu na chaji na inaweza kuzima chaji ingali ina asilimia hata 60.
Je ni wapi naweza pata betri mpya na kwa kwa gharama gani?.
Nipo Mbeya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.