Yerusalem
Member
- Oct 5, 2011
- 71
- 72
Habari za muda huu wadau,Nimekuwa nikifuatilia matokea ya shule tajwa hapo kwa miaka miwili sasa naona kitaaluma wapo vizuri,nilikuwa naomba kama kuna mdau anaweza kusaidia kunipa taarifa zaidi kuhusu hii shule jinsi ya kujiunga,wapi nitapata form,na ada zao,nimejaribu kusearch kwenye internet bila mafanikio.Nakaribisha maoni yenu