Beta Male na Alpha Male

Beta Male na Alpha Male

Mkuu waliopo katikati hawapo yan Alpha-Beta..
Hawapo hao, isipokuwa tu unapaswa kuishi kulingana na mazingira uliopo kwa wakati huo.

Kwenye hii dunia ya leo iliyojaa beta males hautakiwi ujioneshe kuwa wewe ni alpha, so just be a "fake beta male"

Just live like beta while you're pure alpha inside, vinginevyo utakosa fursa nyingi za kiuchumi maana hao beta males ndio wenye pesa na ndio mabosi wetu wanaotuajiri.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kaa ukifahamu there's a very thin line between arrogance and high self-esteem/confidence na binadamu wengi huwa mnashindwa kuvitofautisha hivi viwili kwa hiyo sikushangai wewe kusema kwamba hizo concepts nilizoandika hapo zinajenga arrogance(kujiskia)
FYI human beings are the same, since we are all created by the same God therefore we have a lot of similarities. If take your time at least to dig out you will understand that we were all born "alpha" but our societies moulded us to be "beta", basically how you are today is the results of environment and societel trainings you were raised in, Sasa hizo habari za Grey areas ni nadharia zako tu ambazo hazina ukweli wowote.Sasa umewahi kuwaza ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume wanaoteseka kwenye mahusiano/ndoa zao ni hao wasomi ambao wako "gentle?? Ni kwa sababu wana wanayapeleka mahusiano yao in modern way, na modernisation is here to weaken men(by taking away his masculinity) and make women stronger, kama ulikuwa ufahamu hili fahamu leo.
A Modernized man is a weak man at least in relationship-wise, being gentle is equivalent to being soft.

Once you drop conservative traits and decide to embrace modern/liberal ideology, then you are officially "Beta

Na kwa bahati Sana, beta males ndio wanatengeza weak society. Angalia leo conservative societies angalau ndio bado zina family stability wakati huo kwenye liberal societies family stability ilishakufa siku nyingi Sana na badala yake wameamua kui-embrace single-motherhood.

Bro, an alpha male is usually aggressive and adamant. Sio lazima uwe hauna shule ndio uwe hivi.

Alpha male hata wewe mwenye ukiamua kuwa unaweza, kama jamii imekutengeneza wewe kuwa beta Basi pia unaweza vile vile unaweza kurudi kwenye alpha version.

Sasa napata picha athari za hii elimu ya kimapokeo(Western education) kwa vijana wetu miaka kadhaa ijayo.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Nakuelewa Sana mzazi am neither taking beta males side nor alpha males side,just addressing what has to be addressed from my perspective I can be wrong but not totally wrong,hata hizi idea za Beta na Alpha ,they are just Ideas,media coined words, philosophised life,kama ile tu ya sijui women are from Venus males are from so and so......
Bado naamini similarities tunazozionesha kwenye maisha ni kwa sababu tunasoma kwa mitaala,na wazazi wetu Wana pre-defined meaning ya success,ni common ideas za jamii ,hizi commonality ndo zinaleta similarities,maisha yamepewa boundaries za performance,

A great painter and a great physicist are both tutored using the same curriculum

Ni kweli what they call civilization inavyochukua nafasi ,kwa mfumo wa elimu ,watu wanatatua matatizo yao kwa kutumia. Vichwa vyao badala ya kutumia nguvu,. In africa masculinity has something to do with expressing how muscular you are, a physical demanding entity.

Pamoja na similarities zetu za kibiologia kila mtu mmoja yuko na particular purpose yake hapa duniani,what is the use of having 7 billion people all carpenters?? Same purpose??? No use my friend watamaliza miti . Varieties, differences zetu zinatublend wote kwenye mfumo wa maisha,no weak Man no Strong man ,everyone doing his doings,running the wheel of life,ukianza kuvimbisha kichwa kama Alpha unayemsema ,arrogance,you are distorting the wheel.
 
Already seen your perspective it is more of beta.

In this life it is either of you are beta or alpha, there is no neutrality in this dogma/indoctrination.

The so-called civilization is here to soften you if you embrace it fully.

Halafu naona kama hutujaelewana mahali hapo.

Umeshuka maelezo mengi mengine yako nje ya context, nimejaribu kuelezea alpha na beta katika nyanja ya kimahusiano.

Na pia arrogance ni namna unavyoitafsiri wewe!

Bila shaka unamfahamu Cristiano Ronaldo, sasa yule jamaa ni mfano mzuri wa Alpha male, Kwanza anajikubali yeye kama yeye kwa kile anachokifanya na pia ni mtu anayejijari Sana kupita kiasi, na hii imekuwa ikifanya watu wengi wamuone Yuko so arrogant lakini kwangu Mimi simuoni Kama arrogant person badala yake ni mtu anayetambua hapa duniani amekuja kufanya Nini, mtu mwingine mwenye hizo alpha traits ni Donald J. Trump raisi wa Marekani.

Kama nilivyokwambia hapo awali, kwenye hii dunia iliyojaa ma-betas sishangai sana mwanaume aki-exudes elements za self-importance anaonekana arrogant.

Nakupata uzuri masta ,a better part of arguments is learning,growing , we are not contesting, we are discussing a matter at different perspectives,we are not seeking victory,we are just sharing our knowlege and experience

Life isn't a game of YES and NO ,GOOD and BAD ,BLACK and WHITE as you address it ,this kind of perspective set standards too high and humanly impossible ,a combination of BLACK and WHITE produces GRAY ,that's where most life is ,Simply swinging between the two extremes

Unaweza chagua kuwa mzee wa nyeupe na nyeusi, lakini broad exploration ya maisha iko hapo kwenye gray ,where sinners and saints co-exist,a region of sinning repenting and sinning again, binadamu hatuna uwezo wa kuwa consistent kwenye mambo yetu,inategemea Sana circumstance tuliyomowe are subject to ERR ,Kuna Muda unakuta huna option other than reacting like an ALPHA male,na Kuna Muda Muscles(masculine) aren't very useful (soft approach needed),a flexible approach to life kulingana na context

Appreciating your content Bro ,you got lessons [emoji109][emoji109]
 
You are damn smart bro.

This last comment of yours is thought-provoking stale, have to open eyes and make more exploration in this journey.

In nutshell flexibility should necessarily be ingrained into our survival approaches in this modern era!

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
You are damn smart bro.

This last comment of yours is thought-provoking stale, have to open eyes and make more exploration in this journey.

In nutshell flexibility should necessarily be ingrained into our survival approaches in this modern era!

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Delighted to meet you here master,

Thank you .
 
Nimepata uelewa mzuri hapa,asante mleta mada na wachangiaji wengine,

Haya maneno pia wanayatumia sana hasa kwenye makala zinazoelezea maisha ya familia za wanyama kama Simba
 
Hawapo hao, isipokuwa tu unapaswa kuishi kulingana na mazingira uliopo kwa wakati huo.

Kwenye hii dunia ya leo iliyojaa beta males hautakiwi ujioneshe kuwa wewe ni alpha, so just be a "fake beta male"

Just live like beta while you're pure alpha inside, vinginevyo utakosa fursa nyingi za kiuchumi maana hao beta males ndio wenye pesa na ndio mabosi wetu wanaotuajiri.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
a.k.a sigma male

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom