Beta Male na Alpha Male

Beta Male na Alpha Male

Welcome to redpill society.

Ufafanuzi

BETA MALE

Kwanza Beta ni neno la kilatin lenye maana ya badae au ni kitu kinachofuata baada ya ile iliyo imara kwa maana nyingine beta ni " dhaifu"

Beta male ni Nani?

Beta male ni mwanaume dhaifu katika nyanja mbali mbali za kijamii uhusani kwenye upande wa mahusiano. Zifuatazo ni sifa za beta male

-Beta male ni mwanaume asiweza kusema "NO" kwa chochote kile anachoambiwa na mwanamke akiamini kwamba ndio ustaharabu au ugentleman.

-Beta male ni mwanaume ambaye Yuko tayari kufanya Jambo kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke hata kama litamgharimu yeye kiafya au kiuchumi yeye anachoangalia ni mwanamke kufurahi.

-Beta male ni mwanaume ambaye yuko tayari kuwapuuza wazazi au jamaa zake wa karibu ambao ndio wana uchungu na yeye na kufuata matakwa ya mwanamke wake aliyekutukana nae ukubwani.

-Beta male ni mwanaume anaempa thamani kubwa sana mwanamke kuliko inavyopaswa na kuishusha jinsia yake, mara nyingi huwa yuko tayari kumuangamiza mwanaume mwenzake kwaajili tu ya maslahi ya mwanamke.

-Beta male ni mwanaume asielewa chochote kuhusiana na women manipulation.

-Beta male ni mwanaume anayeona fahari kudate/kuoa mwanamke ambaye tayari ameshakuwa damaged akiamini eti ni mkomavu wa kifikra hapa unakuta anaoa single mother, kahaba mstaafu n.k

-Beta male ni mwanaume ambaye anawekeza kwa mwanamke kabla ya kuwekeza kwake mwenyewe, hapa unakuta anamsomesha au kumkopea mkopo wa biashara mwanamke ilihali yeye bado anaishi nyumba ya kupanga.

-Beta male ni mwanaume ambaye anafanya Jambo ili aonekane yeye ni "real man" kwa mwanamke, pasipo kufahamu hicho cheo huwa Wanapewa wanaume mabwege.

-Beta male ni mwanaume ambaye anaona dawa ya mwanamke mjeuri na msaliti basi ni kumuongezea upendo na kumtoa outings za gharama na akishindikana sana anamuachia nyumba na mali zote walizochuma kisha yeye anaenda kuanza maisha upya.

Beta male ni mwanaume anayetumia zaidi emotions kuliko logic kwenye mahusiano.

-Beta male ni mwanaume mtiifu kwa mwanamke na mara nyingi huwa Wana dharauliwa Sana na wanawake.

-Beta males ni wanaume wanaoongoza kulizwa lizwa ovyo na wanawake kwenye mahusiano.

NOTE: KUNDI HILI LA BETA MALES KWA JINA LINGINE WANAITWA "SIMPS" au " WHITE KNIGHTS"

ufafanuzi kuhusu ALPHA MALES

Alpha ni neno la kilatin lenye maana la inayoanza au iliyo na nguvu zaidi. Hivyo basi Alpha Male ni mwanaume imara anayeitambua na kuilinda nafasi yake hapa duniani.

Zifuatazo ni sifa za ALPHA MALE

-Alpha Male ni mwanaume anayejali maslahi yake Kwanza kabla ya kuangalia maslahi ya watu wengine.

-Alpha Male ni mwanaume anayeishi kwa kufuata principals zake alizojipangia mwenyewe pasipo kuangalia watu waliomzunguka wanamchukuliaje

-Alpha Male ni mwanaume ambaye akiamua kufanya Jambo kwa ajili ya maslahi ya wengine, Basi anafanya pasipo kupendelea jinsia yoyote ile yaani atahakikisha manufaa yake yanamlenga kila mtu.

-Alpha Male ni mwanaume mwenye vision na siku zote anakimbizana na dreams zake.

-Alpha Male ni mwanaume asiyekuwa na muda wa kubembeleza mwanamke, siku zote yuko tayari kubwaga manyanga kwa mwanamke asiyeeleweka yaani hana muda wa ku-entertain dramas.

-Alpha Male ni mwanaume anayepeleka mambo yake kwa logic yakiwemo ya kimahusiano, yaani kabla hajafanya maamuzi anapima Kwanza faida na hasara zake.

-Alpha Male ni mwanaume anayeingia kwenye mahusiano/ndoa huku tayari akiwa na exit plan, hili mambo yakienda ndivyo sivyo anakuwa hana cha kupoteza

-Alpha Male ni mwanaume mwenye Kinga dhidi ya women manipulation na ni nadra kuingizwa mkenge na mwanamke.

-Alpha Male ni mwanaume mwenye upendo wa Hali ya juu kwa mwanamke wake, lakini upendo huo unakufa Mara moja pale tu mwanamke huyo anapo msaliti.

-Alpha Male ni mwanaume anayeitambua majukumu yake kwa mwanamke kama mume, na hawezi kubeba jukumu la mume kwa mwanamke ambaye bado hajamuoa.

-Alpha Male ni mwanaume ambaye hayuko tayari kula makombo ya mwanaume mwenzake, mara nyingi akitaka kuoa anatafuta mwanamke bikra na hawezi kabisa kuoa single mother au mwanamke aliyekwisha tumika Sana.

-Alpha Male ni mwanaume asiyejilinganisha hata kidogo na mwanamke, yaani yeye siku zote ana dominant traits na anazionesha pale inapobidi.

-Alpha Male ni mwanaume mwenye high level of masculinity and he uses it for better purposes.

-Alpha Male ni mwanaume asiyejali kabisa kuonekana yeye ni misogynist kwa maamuzi na mitazamo aliyonayo mathalani yeye anaiona ni sahihi.

-Alpha Male ni mwanaume anafanya juu chini kabla hajaondoka kwenye hii duniani aache legacy.

NOTE: ALPHA MALE NDIO MWANAUME AMBAYE KILA MWANAMKE ANA DREAM YA KUOLEWA NAYE KWA BAHATI MBAYA WAKO WACHACHE SANA KWENYE DUNIA YETU YA LEO.



Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Human being is finite and imperfect. God is infinite and perfect.
So no one is perfect and infinite rather than God.
 
Hapo ndipo wengi hukosea kuhusu Alpha males. Wengi wao hawatumii msuli bali maneno, na kuhamasisha Beta males wawafanyie kazi zao zinazohitaji msuli.
beta males ndiyo wanaotumia sana msuli kufanikisha maisha.
Watumwa , makuli na watu wengi wanaotumia msuli ni beta males.

Napoleon, Adolph Hitler, Mussolini, Haile Selassie hata Samora Machel ni watu wenye maumbile madogo lakini wenye hotuba za kuhamasisha watu na kukaribia hata kutawala dunia.

Kwa sasa hivi, Vladmir Putin. kim Dynasty etc ...
Okay ..kwa hicho ulicho kisema na position ambayo Mimi niliyonayo kikazi najiona kabisa kuwa Ni alpha male
 
Daahh huyo Alpha male ulivyokuwa Una mzungumzia nimeona Kama vile unaniongelea mimi kabisa yaani totally "

Yaani umenigusa kila angle in short alpha male Ni wabinafsi Yaani wanajifikiria wao kwanza kabla ya wengine Kipaumbele cha kwanza Ni maisha yao cha pili Ni kazi au Rasilimali zao na cha Tatu ndio mahusiano

Mara nyingi huwa hatudumu kwenye mahusiano cause huwa hatuwezi kuvumilia ujinga na mahusiano ya siku ili yaweze ku-exist yana hitaji usitumie logic kwenye mahusiano hapo ndio balaa huwa linaanza kwetu
Hakika mkuu kama huko hivyo basi uko kwenye mstari sahihi kabisa. Na bila shaka unaishi maisha matamu sana yasiokuwa na stress mkuu.

Kwenye mahusiano ukienda kwa logic mwanamke atakuona kama humpendi, maana utakuwa haufanyi sacrifices za kijinga jinga, na hii lazima itamkimbiza.

Alpha Male is all about himself, in everything he does he makes sure he's primary beneficiary.

The only person whose interests may come before his is the child that biologically belongs to him.

Women usually tag men with Alpha traits as emotionless misogynist, but they're secretly attracted to and admire this kind of men.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Basi mimi ni Alpha female maana umenielezea vizuri kabisa japo kwa upande wa kiume ila ndivyo nilivyo
Almost every woman is alpha female.

Mwanamke akiingia kwenye mahusiano tuseme ndoa, anakuwa tayari ameshapima faida na hasara za ndoa hiyo na zitadumu kwa muda gani. Ñdio maana hata kwenye devorce mara nyingi mwanaume ndio anakuwaga ni loser.

Kila mwanamke anauwezo was kutumia uanamke wake(feminity) kupata maslahi fulani.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli kuna watu mnajua mambo. Lakini nothing in the universe is absolute. Kwa hiyo ukimkuta mwanamume ni 100% alpha huyo atakuwa unfit kwenye jamii. Vivyo hivyo wale ambao ni 100% beta watakuwa walegevu mno hata make hat an is in is vs a lama kuishi na mume dhaifu. Cha msingi ndoavinahitaji give and take. No wonder great people hawakuweza kuwa na mahusiano imara.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa tu kila upande una faida na hasara zake.

In our blue-pilled world yaani dunia hii ya leo ambayo karibia kila kitu kipo katika namna ya kum-favor mwanamke, unatakiwa uishi Kama beta male hadharani ila sirini uwe alpha male.

So live like beta but think like alpha.

Na kwa bahati mbaya sana watu wengi wenye nguvu duniani kiuchumi na kisiasa ni ma-beta males, na ndio hao hao unaosema wanasumbuliwa na mahusiano yao.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Human being is finite and imperfect. God is infinite and perfect.
So no one is perfect and infinite rather than God.
Our God is obliquitous being he can coincidentally be both in heaven and universe, yes he's infinitely finite or finitely infinite. Human being is neither perfect nor infinite.

What exactly were you trying to say?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Hakika mkuu kama huko hivyo basi uko kwenye mstari sahihi kabisa. Na bila shaka unaishi maisha matamu sana yasiokuwa na stress mkuu.

Kwenye mahusiano ukienda kwa logic mwanamke atakuona kama humpendi, maana utakuwa haufanyi sacrifices za kijinga jinga, na hii lazima itamkimbiza.

Alpha Male is all about himself, in everything he does he makes sure he's primary beneficiary.

The only person whose interests may come before his is the child that biologically belongs to him.

Women usually tag men with Alpha traits as emotionless misogynist, but they're secretly attracted to and admire this kind of men.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
😁😁😁 Watatukoma
 
Hapo ndipo wengi hukosea kuhusu Alpha males. Wengi wao hawatumii msuli bali maneno, na kuhamasisha Beta males wawafanyie kazi zao zinazohitaji msuli.
beta males ndiyo wanaotumia sana msuli kufanikisha maisha.
Watumwa , makuli na watu wengi wanaotumia msuli ni beta males.

Napoleon, Adolph Hitler, Mussolini, Haile Selassie hata Samora Machel ni watu wenye maumbile madogo lakini wenye hotuba za kuhamasisha watu na kukaribia hata kutawala dunia.

Kwa sasa hivi, Vladmir Putin. kim Dynasty etc ...
Nakubaliana na wewe kabisa, kuna wengine wanaposkia neno "masculinity" basi mawazo yanawapeleka kwenye matumizi ya misuli pekee kitu ambacho si sahihi.

Masculinity ni combination ya vitu kama confidence,diligence,high self-esteem,boldness,resilience, inspiration na compassion. Matumizi ya misuli ni sehemu tu ya masculinity.

Kutumia Sana misuli/mabavu hata pale pasipostahili ndio kumezalisha ile nyimbo ya "toxic masculinity

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Tutaenda nao sawa tu.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Mimi ujinga ujinga sitaki ..nikianzaga kuona mtu haeleweki tu nakula Kona sitaki mpaka tuanze kuambiana sikutaki sijui blaaah blaah kibao BIG NO .. mdogo mdogo naanza kujitoa kitu Ambacho siwezi Ni kung'ang'ania sehemu ambayo huwa naona Mapenzi yanataka kufa huwa nahisi nikifanya hivyo Ni kujivunjia heshima kupoteza utu wangu na status niliyonayo ... So muda wa kumlilia Lilia mtu sinaga 😁😁😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom