BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Mungu amemuumba Adam na Eva siyo Adam na Steve. Achana na huyo rafiki la utaingia majaribuni! kwanza mlilalaje nyumba moja achilia chumba au kitanda kama vilihusika. Watu wazima hivyo mna sleepover??