Best wishes kwa form 6 wote 2015-2017

Best wishes kwa form 6 wote 2015-2017

Aaaaah mkuu umeniudhi tayari unanifananisha na le mutuz mm aaaaah niombe radhi kama cjalipeleka hili kwenye mahakama ya kimataifa
Hahah mkuu naomba msamaha sana,usilipeleke kwa askofu please🙂🙂🙂🙂
 
All the best kwa wadogo zangu wa Tarakea high school..
 
Kiongoz mbona unaweka tabora na msalato special schools kwan feza sio special school...!?
 
Ingekuwa kutakiana MITIHANI MEMA ndo kufaulu basi wengi tungefeli.
 
Back
Top Bottom