Best wishes kwa form 6 wote 2015-2017

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
wanafunzi.jpg

IMG_9817%2B%25281280x853%2529.jpg

upload_2017-5-1_7-49-24.png



Nitumie nafasi hii kuwatakia mtihani mwema form 6 wote Tanzania,mungu awatangulie katika mitihani yenu na mfaulu kwa kiwango kikubwa sana.Karibuni chuoni;


Natambua uwepo wa form 6 wafuatao katika mitihani hii:

1.Happy Kabushi(Temeke sec-Dar)
2.Franco(Jiteute)-Young Brother
3.Diana-(Wiza sec-Mwanza)
4.George Charles-(Azania sec-Dar)(Mdogo wangu wa damu)
5.Justina-(Kanosa-Dar)
6.Elizabeth Joseph-(Tabora girls special school)
7.Jenipher-Msalato special school-DODOMA
8.John Maganga-(Mosh Tech)
8.Hasani-(Shabani Robert)
9.Godfrey-(Benjamin Sec)
10.Juma-(Kibaha sec)
11.Charles-(Ilborian)
12.Emanuel-(Iyunga Tech-Mbeya)
13.Joseph-(Feza boys-Dar)
14.Irene John-(Kilakala-Morogoro)
15.Queen-(Marian girls-Pwani)
16.....(Kama nimekusahau mwanaJF naomba ujitaje au mtaje niliyemsahau)

Mjiandae na kwenda huku aiseee:):):):)
Mkimaliza mtihani muanze kuwafikiria hao waliokaa hapo chini,wanaitwa wadudu
Vijana%2Bwakisikiliza.JPG


By Deadbody
 

Attachments

  • upload_2017-5-1_7-46-24.png
    upload_2017-5-1_7-46-24.png
    119.9 KB · Views: 98
  • upload_2017-5-1_7-47-10.png
    upload_2017-5-1_7-47-10.png
    111.4 KB · Views: 90
Kumbe humu form six mpo watoto mliozaliwa 97...daah haya mtihani mwema
 
The best Wishes kwenu wadogo zangu. Mungu awasimamie katika mitihani hii.

Katika maisha yangu ya ki-elimu, hii ndiyo ilikuwa mitihani migumu sana kupata kutokea ila namshukuru Mungu nilichomoka.
 
Kwa kweli kuna wengi nawajua ila nitawatakia mtihani mwema kwa makundi au shule zao
1. wanafunzi wote wa st. jude nawaaminia kwa hizo div 1 akina CATY, HERIEL e.t.c
2. wanafunz wote wa moshi tech akina Tumain
3. ilboru high shool
4. kilakala girls ikiongozwa na mdogo wangu PETRA JOSEPH
5. Arusha sec akina Restuta, Zakayo
6. nisiwasahau LYAMUNGO
7. Ashira girls
8 .Edmundi rice na KISIMIRI HIGH SCHOOL natumain mtaendeleza ubabe
___Karibuni sana ukubwani___
 
Back
Top Bottom