Sindwa kusangaa na wewe Mr. Rocky!
Ina maana Judgement ni blind kiasi gani ?
Yaani nimeshindwa kuona picha na maandishi !
Realy ?
Judgement halafu hapa Vin Diesel anatuambia mke wake ni sweetlady tuu hana mpango na Husninyo
Kama asingekuwa na mpango nae imekuwaje ana taarifa za mpaka ratiba ya mitihani yake