Best wife of the world

THK DJAYZZ

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
2,167
175
Katika tembea yangu sijaona mwanamke mtamu kama huyu wangu. Kuanzia tabia hadi 10 kwa 10. Kwa kifupi nainjoi maisha kwani sitamani kamwe kumuacha. Nampenda kwa dhati naye pia ananipenda. Vipi kuhusiana na wewe ?
 
Sijakutana nawe kwa karibu tangu ulipotokea msiba.
Haya! Hujambo ?
Kisha baada salamu nasema hujajibu swali la muasisi uzi !
Sijambo, sijui wewe.

Mimi sina mke hivyo siwezi jibu swali lake, nnachoweza kumpa ni hongera pekee.
 
Katika tembea yangu sijaona mwanamke mtamu kama huyu wangu. Kuanzia tabia hadi 10 kwa 10. Kwa kifupi nainjoi maisha kwani sitamani kamwe kumuacha. Nampenda kwa dhati naye pia ananipenda. Vipi kuhusiana na wewe ?

Ulisema unae muda gani vile naq hao wengine ulikuwa unaishi nao muda gani kabla ya kuanza kutowa kasoro?
 
Tuendelee kungoja labda yale yanayojiita MASHOMBE SHOMBE yasimuone.
 
Isije ikawa limbwatalization ime take place,Mwanamme hata siku moja hamsifii mkewe mbele za watu
 
Hongera!
Mnaishi wapi vile
Nataka kuwasalimu tu.

Kwa sasa natafuta mke, sina hata gf, what a shame!
 
For how long have you been together? Sina maana mbaya ila wakati mwingine muda nao unahusika. Anyways, nawaombea muendelee vivyo hivyo hadi kitakapowatenganisha kifo.
 
Hongera sana, Una bahati weye
Kaza buti kuongeza salio la malavidavi, kwani usipoongeza kila mara salio linaweza kwisha.
 
Katika tembea yangu sijaona mwanamke mtamu kama huyu wangu. Kuanzia tabia hadi 10 kwa 10. Kwa kifupi nainjoi maisha kwani sitamani kamwe kumuacha. Nampenda kwa dhati naye pia ananipenda. Vipi kuhusiana na wewe ?
umahiri wake kwa kuwa anapiga sana kazi za nje ndo mana yupo imara
 
Back
Top Bottom