Best Watch Brands for Men!

Ni kweli mkuu. Nko addicted mbaya na saa. Ss hv nna kitu swiss naskia raaahaaa
 
Ngoja na mm nioneshe saa yangu ina miaka mingi sana.....nilipewa saa ni ya kutokea since 1935
 
.. OLESAIDIMU kuna saa nilikuwa nataka ni upload naona in ago ma saa hii ni ya rangi a 1935
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ume analyse vizuri sana.
 
Napenda sana saa,simu kwangu naona kama ushamba fulani ndio maana natumiaga iphone tu,ila saa napenda sana seiko is my life! ninamsela wangu alipewa saa na babu yake mpaka leo hii inafanya kazi anasema hatampa mwanae siku na yeye,na mm nitampa mjukuu wangu seiko yangu one day
 

Yaani Tanzania tunajadili saa... Hamna simu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…