22nd
JF-Expert Member
- Aug 1, 2010
- 495
- 137
Great Thinkers naomba msaada wenu.
Mwenye kujua,naomba aniorodheshee the best schools(sio kimajengo) ambazo ada yake ni reasonable. Ziwe Bording au Day
katika nchi zifuatazo
Tanzania
Kenya
Zambia
au nchi yeyote ya africa wenye kuongea Kifaransa(Isiwe Congo).
Nina mtoto wa Kaka yangu anamaliza darasa la saba next year. nataka nimpe the best education kwasababu mimi nimesoma kwenye zile shule
za kayumba(kata),mtakuja secondary school. kwahiyo nilichokikosa mimi na wazazi wake nataka yeye akipate.
Ili asiwe nyuma kwenye dunia hii ya ushindani
Huyo mtoto ni wa kiume.
NB: Sipo Tanzania kwahiyo sijui hata pa kuanzia,nategemea mawazo yenu.