Best PC games

Ets 2 inanoga ukiwa na mods basi haliish utamu mkuu...

Upate southern region map,mario map,tsm map na Russian baikal hapo utakutana na barabara za vumbi full mitope,kona na milima yakutosha huku umefunga mod ya Horsepower kama 1000 hivi...na nyuma una mzgo wa heavy cargo aaah huez choka euro truck
 
Mwenye PES 17 ya steam msaada tafadhali. Hizi pes za del choc na kina Rg catalyst zina mapungufu hasa ukiwa unaweka patch
 
Daaaaaah, huwa napenda sana Games but Pc yangu ina 2Gb Ram.
 
MKUU HIZO MAPS UNAWEZA TUWEKEA LINK HAPA, MAANA MIMI NIMESHINDWA KUZIPATA KABISA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…