Best PC games

Jamani hii call of duty MW3 mbona fupi sana yani kwny mission inaishia 50% game limeisha pale unapomuua makorov...jamaa wameniudhi sn
Call Of Duty 3 sio fupi Mkuu, sema Game ni tamu sana kiasi cha kwamba unatamani uendelee kuicheza, tafuta hiyo modern warfare 4 uendelee japo hiyo ndiyo fupi zaidi.
 
Mkuu unauza bei gani .....pia kama unaujuzi nina Xbox 360 ila haina HD inakataa kuplay original cd
Mkuu Xbox 360 zipo tatu na games kama 50 hivi nauza zote 1.5m na game zote hizo.kuhusu hio yako kutosoma cd original inaweza kukuta kuna shida kwenye sensor
 
Dah wadau kuna bonge la Game linaitwa Resident Evil Revelations hili game ni funika yote Battlefield
Call of duty yaani hilo game liko kama unacheza kwa episodes mimi nimeishia ep 2 ep 3 inatoka mwaka huu
Ilo game nalikubali sana yani
Mkuu unafananisha battlefield na resident evil hayo mazombie? Tutake radhi wazee wa cod na Bf
 
Dah wadau kuna bonge la Game linaitwa Resident Evil Revelations hili game ni funika yote Battlefield
Call of duty yaani hilo game liko kama unacheza kwa episodes mimi nimeishia ep 2 ep 3 inatoka mwaka huu
Ilo game nalikubali sana yani
mkuu mimi ninalo nimedownloa ila halichezi naona spc za computer yangu ni ndogo, naona watu wengi wanalisifia sana
 
mkuu mimi ninalo nimedownloa ila halichezi naona spc za computer yangu ni ndogo, naona watu wengi wanalisifia sana
Wewe resident evil ipi, me mwenyewe ninalo resident evil 5. Computer inameet minimum system requarement lakini limegoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…