Best PC games

Mkuu kumbuka Uncharted ni lazima uwe na ps3 au 4 maana hizo ni ps exclusive
 
Mkuu kumbuka Uncharted ni lazima uwe na ps3 au 4 maana hizo ni ps exclusive
Dah mkuu nimeingia sehem nimekuta uncherted 1. Kuna software yake unadownload kisha umo ndani kuna web installer. Yani inadownload na kuinistall automatic.
 
Habari ya humu ndani wakuu, kwa wale wapenzi wa flight simulation, game mpya iitwayo X-PLANE 11 imetoka hivyo waweza kucheki kwenye website ya steam bei ni $60. Labda inaweza kuwa mbadala wa FSX.
 
iv ps 2 ni shingapi na nzuri ni ipi kat ya iliochipiwa na ambayo aijafanyiwa makeke?
 
Gta 5 inatumia net?
Katika game kuna "in-game internet" unaweza ukagoogle in-game information.
Pia ili ipendeze zaidi ni vema ukawa na internet ili kuplay online. Online ni nzuri zaid coz kila baada ya muda fulani jamaa huwa wanaachia expansion pack.
 
Call of Duty Advance Warfare ni mziki mnene. Ila ina Gb 52. Na lazima uwe na ram yenye Gb kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…