I.G.I 3!!!??? Hatari sana nyie watu, mimi hiyo IGI nilipiga 1 tuu na nikaimaliza. Nikaipata 2 nikawa siielewi elewi, nikaachana nao. Ila I.G.I ni bonge la Game, siku ya kwanza kuanza kucheza wakati Jones akipigwa risasi nikawa nahisi kama mimi ndo napigwa tena nikawa nna kauoga flani hivi.