Best movies

Best movies

Star anaitwa Ryan Reynold, jamaa alizikwa akiwa hai, baada ya muda akazinduka akajikuta yupo kwny jeneza, sa jamaa atafanyaje ili ajiokoe, na ilikadiliwa uwezekano wa kuendelea kuwa kwny jeneza akiwa hai ni dak 90, ila alizikwa pamoja na tochi, kisu na simu yake

Hio inaonekana ni ya ukweli mjomba
 
January hii kuna ujio wa ghost rider 2 ..Sherlock holmes 2..Mixer spartacus s.3..Dah!Ntafilisika
 
A kiss before Dying
After Life
Undisputed Redemption
X-Men Origins
White Chicks
Enemy at the gate
 
@Wapi wapenzi wa series???
Vampires diaries
Spartacus
90210
NIKITA
Legend of the seeker
The Event (imekatishwa lakini)
Mentalist
 
The event imekatishwa kwa sababu gani wakuu?
 
Hivi ile R.E.D ya akina bruce willis ni ya mwaka gani?
Angels n demons
banditas
the last airbender
unfaithful
the lottery ticket..
 
1. shoot em up
2. No country for old men
3. Taken
4. shottas
5. salt.
 
Hivi ile R.E.D ya akina bruce willis ni ya mwaka gani?
Angels n demons
banditas
the last airbender
unfaithful
the lottery ticket..

Ile ni kama mwaka juzi hivi, ila ni bonge moja la movie ile aisee
 
1. shoot em up
2. No country for old men
3. Taken
4. shottas
5. salt.

I love shottas na Salt, hio Taken ckuipenda kabisa.. C ya jamaa flaan hv, ameact na kny 24, aliongoza wale jamaa walotumwa na wachina kuiteka CTU kukachukua kaajukuu ka baba yake na Bauer..
 
Back
Top Bottom