Junior Hamis
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 354
- 294
graphic nzur lakn tatzo hawana license so timu kuna Barcelona na Liverpool timu nyng hakuna na ukicheza Barcelona mesi cyo Messi ni jezi tu za Barcelona tofauti na fifa kila ki2 kama timu husikaSo far PES2017... BEST GAME EVER! SUPER HIGH QUALITY GRAPHICS AND TS TOO REAL...
Link hyo unaweza chek namna linavoonekana.
pia games ni simple sana kufungacyo zaid ya mb 60 ila ina graphics nzur ila gari nyng zipo locked ila kuna namna ya kumod games za hv uka generates coins na diamonds nyng uka unlock gar zote
Hyo ni mobile game! Ukubwa na resolution ya screen yako ndo inaamua pia matokeo utayoyapata! Kwa issue ya licence on a mobile game sio issue kubwa sana! Mana ina vitu tofauti kdg na ya kwenye PC.graphic nzur lakn tatzo hawana license so timu kuna Barcelona na Liverpool timu nyng hakuna na ukicheza Barcelona mesi cyo Messi ni jezi tu za Barcelona tofauti na fifa kila ki2 kama timu husika
what I said it all abt license na simplicity ya game graphics iko vzr wamejitahd sana what I mean ni kuwa namtaka samatta kwa mfano hawa hawajapewa license huwez mpata pia jezi zina no hazina majina spkng abt game lazima liendane na wakati kama kufanya transfer, kuuza na kununua kits, contracts, wachezaji kuhama timu lazma liwe currently cyo unacheza Barcelona wakat kuna jez ya misimu 3 iliyopita.... cjasema ni baya wamejitahd baadh ya sehem kama commentary,Hyo ni mobile game! Ukubwa na resolution ya screen yako ndo inaamua pia matokeo utayoyapata! Kwa issue ya licence on a mobile game sio issue kubwa sana! Mana ina vitu tofauti kdg na ya kwenye PC.
graphic nzur lakn tatzo hawana license so timu kuna Barcelona na Liverpool timu nyng hakuna na ukicheza Barcelona mesi cyo Messi ni jezi tu za Barcelona tofauti na fifa kila ki2 kama timu husika
mm pia nili uninstall hili game...Kaka umeongea vzr snaa me ni mpnz wa arsenal lkn arsenal niliyokutana nayo hata siielew pia kufanya usajil ni inshu snaa na kubwa kbs challenge zake hazielewek kuna option 1 inaitwa SIM aisee et game inajicheza yenywe nika unstall fasta
Duuuuuh kaka hatariiiiii shukraniMagemu haya hapa bhuana
HD ANDROID GAMES zina kama 2.5 GB mfano hili la kwanza sio yote ambayo yapo playstore simu najaaaa kwa haya magemu tuuuuuuuu jaribuni mlete feedback [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
-eisenhorn:xenos
-afterpulse
-jade empire
-assasins creed identity
-mobile combat
-batman:the dark knight rises
-call of last agent
-mafia 3
-cover fire
-god fire:rise of promethius
-wild blood
-asphalt 8 air born
-gangstar vegas
-the elder scrolls:legends
-unearthed:trail of ibn battuta
-secret agent maria
-Injustice:gods among us 1 ,2
-mortal kombat x
-pes 2017
-fifa 2016
-tai chi panda
-stormborne:infinity arena
-trigger fist
-legends
-survival island:the forest 3d
-gta series
.sun andreas
.vice city
.liberty city
.gta 3
-the amaizing spider man 2
-gods of rome
-wwe legends
-six guns
-brothers: a tale of two sons
-slender man hide and seek
-resident evil 5
-bio harzad
-gangstar:rio city of saints
-9mm
-shadow gun
-ultimate spiderman 1,2
-deus ex:the fall
-dead triger
-bully anivesary
-gangstar new oleans
-king athur
-lords of the fallen
-
Pamoja mkuuDuuuuuh kaka hatariiiiii shukrani
Kumbe tupo wengi. Umefikia Episode ngapi mkuuGunship battle.
Nilimalizaga zote na nilitafuta iliyohakiwa gold na pesa nikawa nazo nyingi.Kumbe tupo wengi. Umefikia Episode ngapi mkuu
Duh... Mkuu nisaidie hyo iliyohakiwaNilimalizaga zote na nilitafuta iliyohakiwa gold na pesa nikawa nazo nyingi.
Search google mfano *gunship battle mod apk*Duh... Mkuu nisaidie hyo iliyohakiwa
Yani unaenjoy sana ndege yoyote unayoitaka unachukua.Duh... Mkuu nisaidie hyo iliyohakiwa