Best mobile games ulizowahi kucheza

kwenye industry ya magame tunaangalia vitu vingi kwa mfano kuna game za
RPG
STRATEGIC
CAR RUNNING
COMBAT na mengineyo
kwangu mimi napenda sana game za strategic na adventure game....... Ni game ambazo unatumia akili sana na zinakufanya uwaze kama PUZZLE GAMES.

jaribu game kama BADLAND NA LEO'S FORTUNE
BRAIN TESTER
 
a1645cea35fdc0c711c3fb17d9c46052.jpg

Mimi zangu hizi
 
Ziko on fire zote mkuu, umeshajaribu Grand gangster? its one of the best kama GTA V
Mkuu hii GTA V na download ila inania nchi yangu haiko active kuweza kuipata nimejaribu kudanga location kama Mara tano lakini wapi nisaidie kwa hilo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom