Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
Snake xhenzia
Tafuta GUSSA FC kisha cheza nao ukimaliza nitag nione matokeo au ni pm.
Super MarioWakuu,tushirikishane mobile games bora tulizowahi kucheza...Kwa upande wangu ni DREAM LEAGUE SOCCER na TRAFFIC RIDER!
Hakuna gemu ngumu kama hilo...Mie nakomaa na gemu langu la nyoka hapa kwenye kinokia changu cha tochi,niko level 2 sina habaree!!!




fifa15, sniper 3d, city racing 3d, ufc, shadow fight kizur zaid yakiwa moded nachukua bunduk yyte ninayo taka na gar zote veyron, ferrari
Mkuu, ina ukubwa gani hii?
cyo zaid ya mb 60 ila ina graphics nzur ila gari nyng zipo locked ila kuna namna ya kumod games za hv uka generates coins na diamonds nyng uka unlock gar zoteMkuu, ina ukubwa gani hii?