Mkuu nimedownload lakini baada ya kuinstall nikiopen inaandika wi fi disabled nifanyaje?play store haipo tumia app ya mobogenie au aptoide znapatikan google
yeap nshachezaaumecheza first touch soccer?
aah ww pes ile ni habari nyingne FTS ipo kama dream league soccer yaan ni kampuni moja hyo FTS 17 Wametoa version mbili moja ipo form of pes na ingne fifa ila sa hv wameweka league zote za ulaya na baadhi ya team za africa zpo so hyo haitaji coin wala nn we unachagua team na league unaanza kucheza na quick match zipoNzur kulko pes?
Pes nzuri sanaaNzur kulko pes?
Sasa nitapataje version ya pes?aah ww pes ile ni habari nyingne FTS ipo kama dream league soccer yaan ni kampuni moja hyo FTS 17 Wametoa version mbili moja ipo form of pes na ingne fifa ila sa hv wameweka league zote za ulaya na baadhi ya team za africa zpo so hyo haitaji coin wala nn we unachagua team na league unaanza kucheza na quick match zipo
Ingia google uki search itakuja utachagua versionSasa nitapataje version ya pes?
bado sijafatiliaa nahisi itakua fifa17 maan imechelewa kutoka hyo pes 17 iliwahiok...naskia kuna jpya samatta yupo,ni fifa 17 au pes 17?
Gemu la nyoka nikama chekechea hakuna ambae hajapitia hapo.Mie nakomaa na gemu langu la nyoka hapa kwenye kinokia changu cha tochi,niko level 2 sina habaree!!!
Dah mkuu jitahid upate apk mpya yenye cheat yani game limekua tamu zaid wameongeza ndege zaidNa update vp Gomez Luna, alafu hili natumia cheat (gold & money)
hata fifa mobile yupook...naskia kuna jpya samatta yupo,ni fifa 17 au pes 17?