Best MMU Threader/Commentator/Contributor of the Year 2013

unaonaje mkuu ungeweka na the worst? ni kulinganisha tu mkuu, usiogope. ngoja nami nikaze buti ili niwe the worst, hahaha!

Lazima nishinde
Muulize lara 1, client3 nk
Atakuwa na jibu kwanini.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
To be sincere the guy HorsePower yuko vizuri sana..
Nakumbuka mwaka wa jana kwenye uzi kama huu nilishwahi ku-acknowledge michango yake.
Kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Tized ..this guy was also a good contributor kwenye issues zinazohitaji tafakuri jadidi..Of late kuna mtoto/mdada mmoja anaitwa Blue G ..huyu naye anankosha sana na jinsi anavyochangia.. Ila nikitaka kufurahi huwa lazima nifungue uzi wa aidha Mkunde Original au lara 1 ...these two fellas always speak what is inside of their souls..huwa hawajali utawachukuliaje..
 
Last edited by a moderator:
aidha Mkunde Original au lara 1 ...these two fellas always speak what is inside of their souls..huwa hawajali utawachukuliaje..
SnowBall
Ole wako uwaeleze unachowaza
Naam unachowaza kutokana na uzi na/au michango yao
Mwanawane utakumbana na matusi ya ajabu
Wanapenda waseme wanayodhani ni sahihi hata kama ni nusu
Lakini ukiwasaidia kuwafafanulia upotovu wa mawazo yao
Shurti ukumbane na mitusi, mitusi ya kitoto
Mitusi tuliyokuwa nayo mitaa ya Temeke kwa Kindande
Naam Temeke Kwa Kindande ya Enzi za Tandika.​
Bandugu tuachie siye tuliyezoea kuwa na mawazo ya kushoto kila wakati
Kila wakati tunawaza mabalaa na majanga
Tunaandika baada ya tafakuri jadidi
Yenye uchambuzi yakinifu baada ya kuyajua madhaifu yaliyopo.
Hiyo wengine siye kina Bazazi ndio starehe yetu.
Starehe ya kuudhi watu bila kujali hisia zao
Ni ukweli kwa kwenda mbele.
​


Bazazi.
​
 
Last edited by a moderator:
Mkuu am very humbled for your acknowledgement, Tunafuata nyayo zenu kaka, Thanks. You are really inspirational.

 
Mtoa mada umekuwa kama tume ya uchaguzi ya tanzania wanatoa nafasi za watu wagombanie kumbe wanamjua nani mshindi.badili heading mkuu,
 
Kamili Mkuu, Tupo bhana tunapambana kupata mkate wa siku, si unajua ukishazaliwa Mwanaume Mzee!!!.

Kwa mara nyingine welcome back Mkuu. Pacha wako nae adimu sana siku izi!

Pamoja mkuu..kitambo sana ujue!
 
Yupo vizuri pia, lakini sifa yake kubwa ni evenly distributed humu MMU. Ila akiamuka mood sio, anzisha thread inayohusu wanawake uone reactions zake! HorsePower anatreat threads zote fair hata kama zingine ni magarasha.
kwahiyo umetumia kigezo cha uvumilivu na kucontrol temper au?
 
Pacha wangu snowhite bana namimi kanipotea sana siku hizi..
Ila naambiwa anaonekana onekana kwenye baadhi ya majukwaa...

Kamili Mkuu, Tupo bhana tunapambana kupata mkate wa siku, si unajua ukishazaliwa Mwanaume Mzee!!!.

Kwa mara nyingine welcome back Mkuu. Pacha wako nae adimu sana siku izi!
 
Last edited by a moderator:

Wewe Bazazi ni bad boy.
 
Last edited by a moderator:

habari yako Bazazi
 
Last edited by a moderator:
@Cythia Chriss ningeandamana kama usingecomment hivyo, hata Smile atakubaliana na wewe, labda aamue kuahirisha!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…