2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,361
- 6,083
Mleta East Africa Eagle UZi na ungeweka na Data kabisa za nchi gani inaongoza kwa UGAIDI:wink::wink:. Nasikitika sana Hiyo nafasi ya china tungepewa sisi. Manake china hawajapigana vita yoyote miaka mingi.
Russia na Israel is the best kupambana na ugaidi... Source ni mimi Mwenyewe
Russia na Israel is the best kupambana na ugaidi... Source ni mimi Mwenyewe
Last edited by a moderator: