Aliyeisambaratisha Russia ni mwanamke anaitwa Condoleezza Rice agent wa CIA ambaye ambaye alikuja kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani .Huyu mwanamke alienda kusoma Urusi Chuo cha Moscow state university mwaka 1979.Kule akapata mpenzi wa kiume anaitwa Mikhail Gorbachev ambaye alikuja kuwa raisi wa Urusi.Uhusiano wao ulipelekea Gorbarchev kwa kupitia kwa hawara yake CONDORREZA Rice kuingizwa kuwa agent wa CIA kwa ushawishi wa mwanamke huyo.
Gorbachev aliposhika madaraka ndio akaanzisha sera mbali mbali ambazo zote zilikuwa na lengo la kuyumbisha urusi na kuisambaratisha.Sera hizo zilikuwa kama ile ya mageuzi ya Perestroika ambayo ililenga kuondoa mfumo wa uchumi uliokuwepo na kuuingiza kwenye mfumo wa kibepari ambao aliuita market socialism kuwalaghai warusi wadhani bado wako kwenye ujamaa ila huu ni wa soko.Laghai mkubwa.
Pia alianzisha sera ya Glasnost ambayo ilikuwa sera ya uhuru wa kujiamulia mambo,uhuru wa habari,na uhuru wa mawazo na kusema chochote hii sera ndio ilisababisha Jamhuri mbali mbali ziamue kujiamulia mambo yao.
Haya yote yalikuwa yakiratibiwa na CIA bila KGB kujua kuwa GORBACHEV alikuwa CIA BUG inside KGB.Walikuja kugundua baadaye Urusi ikiwa imeshakuwa marehemu.