Best military trainers in the world

Best military trainers in the world

Political(PoliCCM) Police - CCP Moshi ;Tanzania United Republic
 
Number five, Vatican, scares me a bit!
I used to take Vatican as very peaceful and holly!
 
United States Army Special Forces Create a Massive Real-Life RPG. America has a whole bunch of special operations forces, each with its own focus and set of skills. United States Army Special Forces, or the Green Berets, are one such unit. Their primary focus is counter-terrorism and unconventional warfare. If looking for a best writing service then go through their essay writing company reviews to understand them deeply.
 
Number five, Vatican, scares me a bit!
I used to take Vatican as very peaceful and holly!

Vatican ni nchi kamili Yenye kila kitu kama nchi.Ndio maana viongozi wengi wakiwemo wa wa Nchi hata USA huiheshimu na kumtembelea kiongozi mkuu wa VATICAN.Unakumbuka hata OBAMA si mkatoliki lakini aliposhika uraisi tu trip yake ILIKUWA Vatican.Ni nchi inayoheshimika mno si kidini tu.
 
1.Police training-United kingdom
2.Special forces-USA and ISRAEL
3.Gollilar war,military displine and military organization-CHINA
4.Airforce Training-USA
5.Intelligence-Vatican
Aiseee, ndiyo maana siri zote za chama tawala CDM wanazo! Kumbe ni sababu ya DR. SLAA? Safi sana!
 
vatican noma msiwachulie poa mapadri wa kanisa langu la katoliki.wanafundishwa mengi.
 
By East African Eagle,
1.Police training-United kingdom
2.Special forces-USA and ISRAEL
3.Gollilar war,military displine and military organization-CHINA
4.Airforce Training-USA
5.Intelligence-Vatican
  • Mkuu hapo katika red una maana gani kuhusu China ?
 
  • Mkuu hapo katika red una maana gani kuhusu China ?

Nina maana ya vita za misituni,kwenye majangwa na maeneo magumu kama milimani na maeneo yenye barafu kali na nje ya mitaa ya miji.Kuhusu military displine ni kuwa waChina wana uwezo mkubwa wa kulifunza jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu na uzalendo mkubwa na utii wa kiwango kikubwa.Jeshi la China ndio jeshi lenye nidhamu kuliko jeshi lolote duniani

Majeshi kwa mfano yaliyofunzwa na wafaransa huwa hayana viwango vya juu sana vya nidhamu kama yaliyofunzwa na wachina.Angalia nchi zote ambazo majeshi hufunzwa na wafaranza hayana nidhamu kabisa.
Majeshi mengi yaliyofunzwa na nchi za magharibi huiwa hayana uzalendo na nidhamu kubwa kama yale yaliyofunzwa na mchina
 
Upembuzi yakinifu na wenye ukweli.
 
No other power can be compared with the Vatican in terms of intelligence. The efficiency of this is due to the hierarchical working of the vast machinery of the Catholic Church, which has transformed all its officials namely, hundreds of thousands of priests, bishops, archbishops, and members of religious orders – into its spiritual and political agents, newsmen, informers, representatives, propagandists, at one and the same time. (www.toughissues.org)
 
1.Police training-United kingdom
2.Special forces-USA and ISRAEL
3.Gollilar war,military displine and military organization-CHINA
4.Airforce Training-USA
5.Intelligence-Vatican

Ndo leo nimesikia. How? Could you elaborate more for us to understand?
 
Vatican ni nchi kamili Yenye kila kitu kama nchi.Ndio maana viongozi wengi wakiwemo wa wa Nchi hata USA huiheshimu na kumtembelea kiongozi mkuu wa VATICAN.Unakumbuka hata OBAMA si mkatoliki lakini aliposhika uraisi tu trip yake ILIKUWA Vatican.Ni nchi inayoheshimika mno si kidini tu.
Sasa waislam wanalilia eti lazima OIC nayenyewe iruhusiwe iingie hapa itatoa misaada kwa tanzanian na waislamu watafaidika....kigezo eti kwanini serikali imeruhusu Vatican wawe na uwakilishi Tanzania wao wanyimwe OIC kuwakilisha waislamu??
 
1.Police training-United kingdom
2.Special forces-USA and ISRAEL
3.Gollilar war,military displine and military organization-CHINA
4.Airforce Training-USA
5.Intelligence-Vatican
Kwa hiyo Urusi hawamo naona hizi taarifa zinamapungufu Urusi katika intelligence ni noma!
 
Back
Top Bottom