Best friends can tell....!

Best friends can tell....!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,062
IMG-20170722-WA0045.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa sio lazima wawe best friends. Hawa ni majirani. Jirani hata kama sio best friend wako, lakini kuna muda mtasalimiana na kuzungumza kidogo na kutabasamu. Hawa hata kama sio marafiki, wako ktk jumuiya moja ya Afrika Mashariki. Kwa pamoja wanatetea maslahi ya ukanda wao (sio lazima iwe kweli). Kwa kuwa wanakutana mara nyingi ktk vikao, hata kama moyoni hawapendani, tabasamu la kiaina muhimu.
 
Ndege wafananao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana hebu kojoa hapa jukwaani tupime mkojo wako kwanza.

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
Show me your friends and I will tell you who you are.
 
Magufuli nadhani anaamini kwenye falsafa ya chama kimoja na term kutokuwa na limit, ila Tanzania tuna system tangia atoke Nyerere kila kiongozi anakaa miaka 10, sidhani kama itavunjwa
 
Back
Top Bottom