best bank for ebay..

best bank for ebay..

akrb

Senior Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
106
Reaction score
10
salaam.tumefaidika sana posts za ebay,na napenda kuwa shukuru wachangiaji kutufungua macho.naomba wazoefu mutupe uzuri na ubaya wa banks mnazotumia kwaajili ya ebay interms of charges,reliability na mengineyo,maana nimeskia kuna banks nyingi wana offer service hii kama nbc,exim,crdb etc
 
Mimi natumia Mastercard ya CRDB niisajiri kitambo kidogo haina shina nikifanya manunuzi online hakuna ghalama zozote bank hunichaji lkn wadau wengi wanadai sasa hivi kuweza kuijisadi kadi yako kuweza kufanya manunuzi online kido ina ugumu fulani sasa wamebadilisha jinsi ya kusajiri kwa mabenki mengine sijui labda tusubili wadau waje
 
Hii topic kidogo itakua poa,hapo kwenye exim kuhusu mastercard ya faida account,inagoma kuunga paypal cjui,kuhusu acount nyingingine,kama kuna m2 alisha fanikiwa kuunga exim,a2julishe na alikua n card ya aina gani
 
Mi nimejisajili na paypal mwaka jana na nilitumia BancABC cash card, ambazo kufungua ni sh elf 5 na baadaya hapo unaiunga na paypal, ishu ni sehemu ya confirm kama ni card yako ambapo paypal wanakata kama 0.9 au 1.9USD sikumbuki vema, na wakishakata unakwenda bank ku request bank statement ambayo utaona codes za ku confirm account yako na paypal, ukiiweka iyo code wanaku refund cash yako na unaanza manunuzi kama kawa
 
That good,hawa exim mm ndo siwaelewi kabisa,then hawana msaada na hilo
 
Back
Top Bottom