Shania Komba
Member
- Nov 9, 2018
- 21
- 9
Huyu mdau kapigwa picha na mtu aliyeita Taxify South Africa, jamaa katokea na taulo, halaf cha ajabu anafanana mno na Besigye. Kama si yeye basi duniani wawili wawili walahi 😀😀😀😀😀
Si ni yule jamaa alikua anataka Uraisi wa Museveni, akawa anakamatwa kamatwa.