Besigye akamatwa

sasa mbona inakuwa mkuku mkuku hivyo? polisi wetu hawa mbona hawana staha jamani? watu wenye majina makubwa kama hao hata ukiwaita kwa simu tu wanakuja weyewe kituoni, sasa ya nini ubabe wote huu?
 
Historia ya Afrika kuandikwa kwa matone ya damu, husababishwa na umbumbumbu wa vyombo vya dola katika utendaji wake....
I dare to say
 
anaonekana kama kijana hivi, tofauti na nilivyokuwa natarajia, sijawahi kuona picha zake before. looks like alikuwa chimbo hivi sio.
 
sasa mbona inakuwa mkuku mkuku hivyo? polisi wetu hawa mbona hawana staha jamani? watu wenye majina makubwa kama hao hata ukiwaita kwa simu tu wanakuja weyewe kituoni, sasa ya nini ubabe wote huu?

Hata raurent bagbo walimdhalilisha bila sababu,......unaona eeeeeeeeee..........
 
huyu mtu ni nani wajemeni????:sleepy::sleepy:
 
Mambo ya utawala wa kiimla - kutumia maguvu yasiyo lazima!
 
anaonekana kama kijana hivi, tofauti na nilivyokuwa natarajia, sijawahi kuona picha zake before. looks like alikuwa chimbo hivi sio.

Mkuu huyu jamaa ni daktari (mganga wa binadamu)) professionally na ndo alikuwa daktari wa Museveni tangu wakiwa porini wakifanya mazoezi ya kuipindua serikali iliyokuwa madarakani.
 
Museveni kajisahau kama Gaddafi akiamini kuwa ni yeye peke yake ndiye mwenye uwezo wa kuongoza Uganda mpaka siku mauti itakapomkuta.
Huyo anayenyanyaswa siku moja atakuja kuwa kiongozi wa Uganda, na yeye akiamua kulipiza kisasi sijui Museveni atakimbilia wapi!!
 
Nimeangalia bbc na ntv nimeamin kweli Dr Kïza Besiege kadhalirishwa sana na hao polc. Naamin Mu7 yatamkuta kama yaliyomkuta Sumuel Doe wa Liberia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…