Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake. Anasema iko siku atawataja peupe kwa majina na sura zao. Nauona undani wa Membe hapa. He seems to be innocent amidst wolves. Tuombe siku ifike na yeye afunguke.

Alijiunga na usalama wa taifa akitokea society of jesus,membe amekwiva...
 
Bernard membe ni waziri aliyeshindwa sana, kaharibu sana image ya tanzania nje ya nchi yeye na kaka yake, kwa sasa watanzania tunaonekana ombaomba wakati tuna rasilimali za kutosha, ameshindwa kuitangaza Tz nje ya nchi na sasa anatuletea wachuuzi kutoka nje ya nchi kwa kutumia jina la uwezekaji. Membe wakati ukifika na ukishaoteshwa utajitaja mwenyewe kwenye dili zako zi kihuni ulizoifanyia tz.
 
unajua nini, tunapenda sana kuyapa kipaumbele vitu binafsi kuliko maendeleo ya nchi ambayo ndiyo yaliyo sababisha mimi, wewe , yeye, wale tuwepo hapa na hatakuandika kwangu si kwaajili ya mimi na wewe hapan ni kwaajili ya Taifa ambalo ndo miguu yetu tumeitupia ndani mwake, so tujaribu basi hata kujadili ni njia gani mbadala zije zifanyike kwa viongozi madarakani ili yale makosa ambayo tumekwisha ya experience yasijitokeze tena, lakini unakwenda kwenye kipindi unaanza kuongea mambo binafsi till when, basi tuanze kuomba udhamini tufanye vipindi vya kujiongelea tujulikane kitaifa zaidi maana ndo most of our televisions zinapoishia.

to
Bernard Membe
and
45 one to one talk
N:B
if you don't have a Question to ask don't ask n if you think the asked Question is not fit for the session then don't asnwer ask for specific session for asking such a Question don't just ask and answer you may loose your dignity bana.
 
we kweli bongolala kama ulimsikiliza kasema pesa zipo TIB na akasema kama kuna mtu anataka kuhakikisha aende TIB
mkuu hujui kuwa ufisadi wote unafanyika kupitia TIB?lini umewahi ona TIB wakitangaza tender ya investment yoyote hapa nchini kuwa pesa zipo?halafu uzuri wa TIB wakopaji huwa hawarejeshi mkopo.MKUU HIYO NI SINEMA PESA IMELIWA HAPA HAPA CITY CENTRE DAR IPO SIKU UTAAMINI MANENO YANGU
 
Ni leo katika ITV...

Mheshimiwa Membe ameahidi kuwa wale wote wanaomzushia kashfa, wako 11 na kati yao wawili ni waandishi...siku yao ikifika, atawataja hadharani peupeeee!!!!

Kwa sasa anakusanya data za kila mmoja wao, kisha atatengeneza dosier ya kila mmoja wao na finally atawataja kweupeee.

It is interesting..sijui wanarudia lini hiki kipindi...please don't miss it if you can.
Huyo mwandishi Ni michuzi want aka kutumia blog yake kumchafua membe,
 
ni habari njema kama membe kafikiria kwa nia njema, lakini kama kuna hidden agenda wajue ndio kusambaritika kwa CCM. Huenda wanataka hiyo platform iwepo wakiwa na mawazo kwamba position itambana kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani kujibu kwa ufasaha maswali provocative kutoka kwa pro_ccm waliokimbia mirembe kama Lusinde na Mwigulu nchemba.
 
' Tutakisuka chama ili uongozi wa nchi ubaki ccm...' hapo pagumu kumeza.

Mweeee! Unasubiri ujenge ghorofa ndo uanze kupiga deki. Safisha hicho kichumba kimoja ulicho nacho ndo utaweza kusafisha hilo ghorofa la njozini mwako.

Hawa ndo wenye maono/vision walo-baki; basi kazi ipo kwa watz
 
Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake. Anasema iko siku atawataja peupe kwa majina na sura zao. Nauona undani wa Membe hapa. He seems to be innocent amidst wolves. Tuombe siku ifike na yeye afunguke.
Nimemsikia for the first time he looks genuine and determinant kuwalipua!. Kwa vile alishagabatizwa kuwa yeye ni "Joka la mdimu", wakimaanisha he is only a "barking dogs, seldom bite", kwa jinsi nilivyomsikia akiongea kwa msisitizo, naamini this time itakuwa kweli, na ata prove beyond reasonable doubt kuwa yeye sio "joka la mdimu"!.

Sikufurahishwa alipowataja "Chadema wameenda kwake na njaaa zao, akawapa chakula"!.
Nimependa alipowataja wabaya wake 11 wakiwemo waandishi wa habari wawili na kuahidi muda muafaka ukiwadia, atawalipua kwa kuwataja hadharani!.

Pia nimeipenda ile ya sababu za yeye kuandamwa na hao wabaya wake, ni kwa sababu wao wana jicho la tatu la kuona 2015 itakuwaje, hivyo fitna zote ili ili kumzuia` na kitakachotokea 2015 na kutoa 'ole' kali kuwa "ole wao asioteshwe" kwani akioteshwa...(watakiona cha mtema kuni-emphasis mine!)

Pia nimeipenda confidence aliyoionyesha na sound ya "commanding voice" na "authority" kuthibitisha anaweza kuwa amiri jeshi mkuu!.

Kwa sisi tunaopenda mageuzi ya kweli ya nchi hii, nawashauri tuweke sala zetu kwa umoja wetu ili Membe aoteshwe na tumpigie debe la nguvu ili awe mgombea wa CCM, candidature yake ni muhimu sana kutupeleka kwenye ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.

Tuombee CCM imsimamishe Membe kwa vile itamtisa EL, then EL atacross upande wa pili, hivyo hili joka la mdimu ni jepesi kama unyonya, hata kupulizwa tuu na upepo linakwenda chini, hivyo Benard Membe atatufaa sana kama the pace maker wetu kwenye mbio ndefu.

CCM go for Membe for 2015, ili Tanzania ipate ule ukombozi wa pili wa Mtanzania.
Pasco
 
Yawezekana Mh Membe akaiokoa CCM, kama hataenda upinzani, he is a great thinker. Nimependa sana mazungumzo ya kipindi hiki cha Dk 45, Mh Membe amenigusa sana, ingawa si kila kitu ninakubaliana nae, ila mwenye hekima hatapingana nami. Kuna mengi vyama vingine kujifunza kwa Mh Membe.

Hana kitu ,majibu yake yalikuwa mepesi sana, alichoweza fanya ni kuact zaidi kutoka na kupewa uhuru sana na mwongoza kipindi.Mbaya hakuona hatari ya kucheza ngoma ya CCM kwa kuishambulia chadema kijinga.CDM wakianza naye hakika taishia kwa Wasirra na mkapa.Itambidi aweke vipindi vingi zaidi ya hicho alichoahidi kukiandaa kujifagilia njia.

Tatizo la membe ni kuji present kama great thinker and careful man with great vision.Ila kauli zake kimataifa kuelezea msimamo wa Tanzani aunasema kinyume.Leo kasema mali ni za walibya huku kasahau kuwa hawaitambui serikali ya mpito, na by the time ghadafi akiwa madarakani alikuwa rais kama maflem na kila mali ay aLibya ilikuwa mali ya familia.

Kwa haraka keshajionyesha kuwa ni mtu wa visasi kwani kaahidi kuwakimbiza maadui zake kama nchi ni yake .hajui kuwa anaowaona maadui wanaweza kuwa marafiki wa watanzania, na yeye kuwataka waende kenya ni ufinyi wa fikra.

Membe pamoja na kuwa ktik ulingo w akimataifa hajui kuwa cameron alivuma Bungeni zaidi ya kokote?Pia hajui kuwa mbunge ni coordinator tuu na siye anayejenga.Pia jamaa keshasahu chochote CCM watakachokifanya kwa haraka katika miaka 5 ya mwisho kita boost upinzani,kwani watasema jitihada zao na mchakamchaka wao ndio umekurupusha CCM.

Membe kichwa chake bado maji kasahau kuwa kusem akuwa wapinzania walitakiwa fanya kazi bungeni hakutomsaidia jenga hoja itakayomsaidia kemea wabunge wa cdm wanaokuja jimboni kwake kuamsha watu.Kwani kunawafanya wananchi waone kuwa CHADEMA SI CHAMA CHA UKANDA ndio maana mbunge mmoja wa CDM ana msaada kwa majimbo mengi, kama ilivyo ufanishi wao kwa ratio 1-CDM:30-CCM(Magamba)

Membe kasahau kuwa wabunge wengi wa CDM ni mawaziri Kivuli.Na kwa vile ni wachache wengi wanaoneka kuongelea mambo zaidi ya Kitaifa.

Membe pia ni kimeo katika hili,kasahau kuwa mijadala mingi inakuwa ubishi pale viongozi wavivu wa ccm wanapoamua tega pa kutaka kuwaadhibu wabunge wa CDM badala ya kuangalia hoja kama hoja na kuijibu kwa hoja.

Yote haya Membe hawezi ona kwa vile andhani kusoma siasa na diplomacy kunamfanya mtu awe mwanadiplomasia mahiri na mwanasiasa makini na mzuri.Akawaulize aprof wa vyuo vikuu vya bongo.Miaka yote waliyokaa katika vituo vy atafiti wameweza gundua nini kinachotekelezeka?Zaidi ya kufelisha watu na kaweka mipango isiyotekelezeka.CDM wana watu wasio na elimu kuwa ila wamefanya kila kitu realiti katika maisha yao.mr. kapitanji azote hadi kuwepo bungeni bila kuupitia CCM wala kutoka kizazi chenye mizizi.

NAMWONA MEMBE KAMA VILAZA WENGINE WANAOWEZA ONGEA TERMINOLOGIES NA STRTEGIES AMBAZO NI CURRENT(katika world media) ILA HAWAWEZI TUMIA MBONGO ZAO KUJA NA ANYTHING USEFUL. CCM hawawezi buni chochote kikawa useful, kama wameshindwa tumia vilivyopo na vyenye proven ways to accomplish.Kama daktari kashindwa tumia njia sahihi na zilizo makini za tiba na kuishia kuua mgonjwa,je akijibunia zake ataua wangapi?
 
Nimemsikia for the first time he looks genuine and determinant kuwalipua!. Kwa vile alishagabatizwa kuwa yeye ni "Joka la mdimu", wakimaanisha he is only a "barking dogs, seldom bite", kwa jinsi nilivyomsikia akiongea kwa msisitizo, naamini this time itakuwa kweli, na ata prove beyond reasonable doubt kuwa yeye sio "joka la mdimu"!.

Sikufurahishwa alipowataja "Chadema wameenda kwake na njaaa zao, akawapa chakula"!.
Nimependa alipowataja wabaya wake 11 wakiwemo waandishi wa habari wawili na kuahidi muda muafaka ukiwadia, atawalipua kwa kuwataja hadharani!.

Pia nimeipenda ile ya sababu za yeye kuandamwa na hao wabaya wake, ni kwa sababu wao wana jicho la tatu la kuona 2015 itakuwaje, hivyo fitna zote ili ili kumzuia` na kitakachotokea 2015 na kutoa 'ole' kali kuwa "ole wao asioteshwe" kwani akioteshwa...(watakiona cha mtema kuni-emphasis mine!)

Pia nimeipenda confidence aliyoionyesha na sound ya "commanding voice" na "authority" kuthibitisha anaweza kuwa amiri jeshi mkuu!.

Kwa sisi tunaopenda mageuzi ya kweli ya nchi hii, nawashauri tuweke sala zetu kwa umoja wetu ili Membe aoteshwe na tumpigie debe la nguvu ili awe mgombea wa CCM, candidature yake ni muhimu sana kutupeleka kwenye ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.

Kama tutamkosa EL, then Membe atatufaa sana!.

Membe for 2015!.

Huyu ndio Pasco ninaemjua?
 
Last edited by a moderator:
ANAMAANISHA NINI ANAPOSEMA 2016 KUWA MAADUI ZAKE WATAKIMBILIA KENYA........!!!!!!!!!au ndo kusema 2016 atakuwa rais wa Tanzania.........Badala ya kujadili kuimarisha uhusiano mzuri anajadili kuwadhuru wanaomsema......2016 haya ni mawazo mgando ya Membe
 
Sasa mh membe mtama umefanya nini kipya pale? Huyu jamaa si chochote si lolote,kuna shule ya advance pale jirani na kwake nyumbani inaitwa MAHIWA,ameshndwa hata kuwasogezea umeme.walinichagua kwenda kusoma pale kwenye ile form ya kujiunga(joining instruction form) wamekuandikia kabsa uje na LUMP(taa ya chemli) pamoja na mafuta ya taa ya kutosha,maji 2likua 2natumia ya mto LUKULEDI ndo kwa kunywa na kufulia. Waziri anachokifanya akienda pale anawapikia pilau na pombe za mnazi wananchi wanakula na kunywa hence wanasahau shda zao.membe niambie lipi jipya unalojivunia pale nyangao,nanganga, mtama?? Shukuru mungu hata mission ya nyangao imejenga hospitali pale ikakuondolea aibu coz jimbo zima hakuna hata ka dispensary.
Hata head master wangu kipindi kile Mr V.LULUKILA alikua anasikitika sana kwa kudanganya na kuweka promise za wongo. Wanajamvi msimuone anavyoongea hapo kwenye tv huyo muheshmiwa mkadhani ni kiongoz anayeangalia maslahi ya wananchi wake,mie nimekaa na kusoma jimboni mwake for two years
wamakuha na wamwera umewatelekeza nnjomba,wanakula tu ming'oko. Membe practice what you preach kwenye jimbo lako wacha kulialia
 
Yawezekana Mh Membe akaiokoa CCM, kama hataenda upinzani, he is a great thinker. Nimependa sana mazungumzo ya kipindi hiki cha Dk 45, Mh Membe amenigusa sana, ingawa si kila kitu ninakubaliana nae, ila mwenye hekima hatapingana nami. Kuna mengi vyama vingine kujifunza kwa Mh Membe.

sipingani na wewe ila hata jk by 2005 kila alipopata nafas aliongea maneno matamu sana,even leo,,,,wanasiasa wana uwezo wa kushawish ila wanafki sana,,,,,hoja zake leo zimeegemea kwa wananch,kesho akiwa kwenye kiti anapotishiwa na chama au walomuweka baaasi........JK hakuahidi kupanda bei ya sukar,umeme,nauli,,,,kwenye ilan ya ccm,,,,,yaliyotokea na yanayotokea tunayashuhudia
 
Back
Top Bottom