zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake. Anasema iko siku atawataja peupe kwa majina na sura zao. Nauona undani wa Membe hapa. He seems to be innocent amidst wolves. Tuombe siku ifike na yeye afunguke.
Alijiunga na usalama wa taifa akitokea society of jesus,membe amekwiva...