mbona alivyoondoka hakutupa taarifa ila wakati wa kurudi anatupa taarifa 😀
Ndio ujifunze na wewe sio kila ukitoka unaaga wapangaji wenzio wote na pale unapoishi palivyojaa washirikina ndio maana hutoboiMbona alivyoondoka hakutupa taarifa ila wakati wa kurudi anatupa taarifa
Wana lao jamboHuyu nae si aache tu. Hivi haoni aibu ?Halafu 2025 atakuwa mmoja wa watia nia kupitia CCM. Amwachie Lissu bwana this time.
Hata akitaka kumpisha, aendelee kufanya hivi hivi kuwachanganya misikule ya Lumumba!!! Wakati tunaelekea ukingoni, ndipo litolewe tamko la kuunga mgombea mmoja!!Tulidhani amekata pumzi kiaina ili kumpisha president tobe hon. Tundu Lissu.