Bernard Membe: Ni ngumu kuipata tija stahili ya kiuchumi bila uwapo wa diplomasia ya nje makini

Huyu zilipendwa ,waliingia mikataba mibovu sana ya kifisadi
Ajiunge chama kingine adumishe hiyo diplomasia nyonyaji
View attachment 1388937

"Tulikuwa chipukizi wa chama cha mapinduzi,tukakulia humo,tukasomea humo hatimaye tukaja kuitumikia serekali hiyo hiyo ya chama kilichotukuza kwa weledi na upendo mkubwa,kwa diplomasia makini,kitu kilichosababisha viongozi wa kuu wa dunia kuomba kuja kutembelea taifa letu na kujifunza mambo mbalimbali.
"DIPLOMASIA YA NJE MAKINI"
"NI NGUMU KUIPATA TIJA STAHILI YA KIUCHUMI BILA UWAPO WA DIPLOMASIA YA NJE MAKINI.
*KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.*
 
Watu wanatakiwa kujua nchi inaendeshwa kisheria, katiba ya nchi inaheshimiwa, lakini Sasa mambo yapo shaghalabaghala
 
Jiwe alifeli toka mwanzo kwenye Diplomasia,uchumi, ajira, na freedom of speech never na hawezi kubadilika labda aondoke.

Tatizo ubishi ujuaji na kiburi anafikiri kemia ndio inaweza kuongoza nchi.

Tungekuwa na idara makini za kiusalama uyu angekuwa yupo chato under security ili kuokoa usalama wa nchi ila kwa vile hawajui maana ya usalama watakuja kuanza kuchukuliwa hatua wao baada ya dicteta kuwatumia na kuwachoka.
An epitome of notorious egotist.
 
Bangi tupu
Jiwe alifeli toka mwanzo kwenye Diplomasia,uchumi, ajira, na freedom of speech never na hawezi kubadilika labda aondoke.

Tatizo ubishi ujuaji na kiburi anafikiri kemia ndio inaweza kuongoza nchi.

Tungekuwa na idara makini za kiusalama uyu angekuwa yupo chato under security ili kuokoa usalama wa nchi ila kwa vile hawajui maana ya usalama watakuja kuanza kuchukuliwa hatua wao baada ya dicteta kuwatumia na kuwachoka.
 
Hilo linafanya kazi kwa nchi zisizo na kitu.

Sisi tuna rasilimali nyingi diplomasia sio lazima.
 
Kwa Tanzania mtu kuwa mwalimu maana yake alifeli either masomo yake ya kidato cha nne au cha sita,kwa hiyo Magufuli hajaanza kufeli Leo bali kufeli ni sehemu ya maisha yake,ndo maana Mambo ya familia yeye anatumia resources za serikali au chama kuzifanya,hiyo ikuoneshe tu kwamba huyu ni failure na hajui hiki ni kipi na kifanyike vipi,kwenye mkutano wa kiserikali utamuona yeye analeta Mambo ya ccm.yaani ni vurugu tu.sema tu nchi hii ina bahati mbaya haina watu ndo maana unaweza ona idara zetu nyeti zikivumilia ujinga wake
Ila ukimwongelea mwalimu Nyerere utampamba alikuwa kiongozi bora?

Ukimwongelea pia mwalimu Lowassa utasema alikuwa afadhali.
 
Hivi kwa mtogole kuna nafasi ya kuanzisha nuclear reactor? Kwa matumizi tu binafsi ya nishati muulize shangazi hapo kama atakubali.
 
Hiko chama kilichowakuza na kuwatukuza ndo kimewafundsha wizi, ufisad na ubadhirifu kila kona????

Hicho chama kilichowafunza diplomasia kiliwafunza kuwa hadi tunafikia nusu karne ya uhuru bado nchi inahaha shida ya maji,umeme,huduma ya afya kilomitana watoto kukaa chin kwny maboma ya madarasa????

Hicho chama kilichowafunza diplomasia kiliwafunza udugulization ktk madaraka???
View attachment 1388937

"Tulikuwa chipukizi wa chama cha mapinduzi,tukakulia humo,tukasomea humo hatimaye tukaja kuitumikia serekali hiyo hiyo ya chama kilichotukuza kwa weledi na upendo mkubwa,kwa diplomasia makini,kitu kilichosababisha viongozi wa kuu wa dunia kuomba kuja kutembelea taifa letu na kujifunza mambo mbalimbali.
"DIPLOMASIA YA NJE MAKINI"
"NI NGUMU KUIPATA TIJA STAHILI YA KIUCHUMI BILA UWAPO WA DIPLOMASIA YA NJE MAKINI.
*KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.*
In short huko chipukiz mlikochipukia mmechipuka kama magugumaj ya mabwawa ya mavi ya chuo kikuu cha mzumbe tu,pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna makundi hatari sana katika nchi yetu, kuna makundi mawili hadi matatu ambayo yameamua kutanguliza chuki za kupokwa kwa maslahi yao na hivyo kujikita katika kushangilia kila anayetofautiana na Serikali hata kama hawakuwahi kuwa marafiki hapo kabla. Waneni husema "ADUI WA ADUI YAKO NI RAFIKI YAKO"

MAKUNDI HAYO NI;
1. Kundi la Viongozi wa awamu zilizopita ambao kwa kinachofanyika na awamu hii kujiguta wanatapatapa na kuungua na GUILTY CONSCIOUS ambayo inawapelekea chuki pasi na sababu

2. Ni la wale waliokua wapiga dili haramu ambao, michongo asilimia kubwa imepigwa pini na Mkuu kuchungulia kila linaloingia nakutoka.

3. Hili ni mchanganyiko wa vyama vya upinzani na baadhi ya watumishi serikalini,. Huku vyama vya upinzani vikijikuta yale yote waliyokua wakiyasimamia na kuyaamini yamepokwa na Mkuu ikiwamo kupambana na ufisadi, uzembe kwa watumishi wa umma, kuwa na vikao vingi vya utekelezaji bila matokeo nk.

Wale watumishi wa umma wazembe, wanahisi wanakua bulled, hivyo kuhisi hawaheshimiki tena na nafasi zao kuwa hatarini kuchukuliwa na watu wengine au tayari hilo limeshafanyika.

KWENU TIMU SHANGILIA
Mtafutieni Membe sehemu yake katika makundi hayo matatu lazima anahatimilikiwa kati ya kundi moja hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diplomasia ya Richmond-> Dowans mpaka ile mitambo ikaja kununuliwa na akina Obama wakatuwekea majanireta yao yakifisadi ili wawe wanatuvuna tu! Ile kampun nimeisahau jina tu aliyokuja kufungua Obama!

Akaja Xi-Jiping toka china aliporudi akarudi na twiga wetu kwao! Kweli Membe ulikuwa mwanadiplomasia mmbebezi ulieta viongozi wakubwa duniani!
Yo talkin abt dowans

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu zilipendwa ,waliingia mikataba mibovu sana ya kifisadi
Ajiunge chama kingine adumishe hiyo diplomasia nyonyaji
Umeonaee. Wanalazimisha kumnasibisha na CCM wakati aliishafukuzwa. Wamchukue wao awe mshauri wao wa Diplomasia ya Nje. CCM haimtaki! Lakini ajabu hata wao hawamtaki!
 
Sikuhizi viongozi wa dunia hawaji kujifunza diplomasia Tanzania badala yake tumekua kichekesho.
 
View attachment 1388937

"Tulikuwa chipukizi wa chama cha mapinduzi,tukakulia humo,tukasomea humo hatimaye tukaja kuitumikia serekali hiyo hiyo ya chama kilichotukuza kwa weledi na upendo mkubwa,kwa diplomasia makini,kitu kilichosababisha viongozi wa kuu wa dunia kuomba kuja kutembelea taifa letu na kujifunza mambo mbalimbali.
"DIPLOMASIA YA NJE MAKINI"
"NI NGUMU KUIPATA TIJA STAHILI YA KIUCHUMI BILA UWAPO WA DIPLOMASIA YA NJE MAKINI.
*KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.*
IMG_20200208_130009.jpg
 
Mnafiki sana, alikuwepo km waziri wa mambo ya nje, kwa miaka 8 sikuona cha maana alichofanya tofauti kujipambanua na hao CCMwa leo hii.

Anataka urais leo ndiyo anatambua hayo SHUBAMITI ZAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafiki sana, alikuwepo km waziri wa mambo ya nje, kwa miaka 8 sikuona cha maana alichofanya tofauti kujipambanua na hao CCMwa leo hii.

Anataka urais leo ndiyo anatambua hayo SHUBAMITI ZAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwa Waziri wa mambo ya nchi za nje Obama alikuja Tanzania, Clinton, Bush hata
Xi Jinping sasa kama wote hawa hukuona
faida katika ziara zao ninadhani una tatizo.
 
Back
Top Bottom