Bernard Membe: Ni ngumu kuipata tija stahili ya kiuchumi bila uwapo wa diplomasia ya nje makini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,041
2,000
1584268690273.png

"Tulikuwa chipukizi wa chama cha mapinduzi,tukakulia humo,tukasomea humo hatimaye tukaja kuitumikia serekali hiyo hiyo ya chama kilichotukuza kwa weledi na upendo mkubwa,kwa diplomasia makini,kitu kilichosababisha viongozi wa kuu wa dunia kuomba kuja kutembelea taifa letu na kujifunza mambo mbalimbali.

"DIPLOMASIA YA NJE MAKINI"
"NI NGUMU KUIPATA TIJA STAHILI YA KIUCHUMI BILA UWAPO WA DIPLOMASIA YA NJE MAKINI.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,368
2,000
Jiwe alifeli toka mwanzo kwenye Diplomasia, uchumi, ajira, na freedom of speech never na hawezi kubadilika labda aondoke.

Tatizo ubishi ujuaji na kiburi anafikiri kemia ndio inaweza kuongoza nchi.

Tungekuwa na idara makini za kiusalama uyu angekuwa yupo chato under security ili kuokoa usalama wa nchi ila kwa vile hawajui maana ya usalama watakuja kuanza kuchukuliwa hatua wao baada ya dicteta kuwatumia na kuwachoka.
 
ngusillo

JF-Expert Member
Nov 5, 2019
1,068
2,000
Mbona tuliambiwa anaandaliwa mashtaka ya uhujumu uchumi? Hii kauli nayo itajumlishwa kama moja ya mashtaka? Maana jiwe anataka watu tuishi kama mashetani na siyo kuwa na hela za hovyo.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
2,078
2,000
Diplomasia ya Richmond-> Dowans mpaka ile mitambo ikaja kununuliwa na akina Obama wakatuwekea majanireta yao yakifisadi ili wawe wanatuvuna tu! Ile kampun nimeisahau jina tu aliyokuja kufungua Obama!

Akaja Xi-Jiping toka china aliporudi akarudi na twiga wetu kwao! Kweli Membe ulikuwa mwanadiplomasia mmbebezi ulieta viongozi wakubwa duniani!
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
5,697
2,000
Jiwe alifeli toka mwanzo kwenye Diplomasia,uchumi, ajira, na freedom of speech never na hawezi kubadilika labda aondoke.

Tatizo ubishi ujuaji na kiburi anafikiri kemia ndio inaweza kuongoza nchi.

Tungekuwa na idara makini za kiusalama uyu angekuwa yupo chato under security ili kuokoa usalama wa nchi ila kwa vile hawajui maana ya usalama watakuja kuanza kuchukuliwa hatua wao baada ya dicteta kutumia na kuwachoka.
Kwa Tanzania mtu kuwa mwalimu maana yake alifeli either masomo yake ya kidato cha nne au cha sita,kwa hiyo Magufuli hajaanza kufeli Leo bali kufeli ni sehemu ya maisha yake,ndo maana Mambo ya familia yeye anatumia resources za serikali au chama kuzifanya,hiyo ikuoneshe tu kwamba huyu ni failure na hajui hiki ni kipi na kifanyike vipi,kwenye mkutano wa kiserikali utamuona yeye analeta Mambo ya ccm.yaani ni vurugu tu.sema tu nchi hii ina bahati mbaya haina watu ndo maana unaweza ona idara zetu nyeti zikivumilia ujinga wake
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,538
2,000
View attachment 1388937

"Tulikuwa chipukizi wa chama cha mapinduzi,tukakulia humo,tukasomea humo hatimaye tukaja kuitumikia serekali hiyo hiyo ya chama kilichotukuza kwa weledi na upendo mkubwa,kwa diplomasia makini,kitu kilichosababisha viongozi wa kuu wa dunia kuomba kuja kutembelea taifa letu na kujifunza mambo mbalimbali.
"DIPLOMASIA YA NJE MAKINI"
"NI NGUMU KUIPATA TIJA STAHILI YA KIUCHUMI BILA UWAPO WA DIPLOMASIA YA NJE MAKINI.
*KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.*
Hapo umejikunja nakutumia akili nyingi kutaja neno demokrasia!
Sijawahi kusikia kiongozi wa CCM akitumia neno hilo. Jitahidi update ujasiri wa kudai tume huru ya uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nizakale

JF-Expert Member
Oct 23, 2019
624
500
Diplomasia ya kuuza rasilimali za nchi na kupiga madili kwa sasa ni historia. Acha kujitekenya

Top Bottom