Lakini rais wako akisifia hilo na wewe unapanua kituDiplomasia ya kupishana angani daily kwa sasa inawafaa zaidi Chadema!
Haswa haujakosea mkuu kijana anataka kituAkishapanua halafu MKUYENGE unaingia...!
Kwani wewe umepanua?
Unaoneka ni mpanuaji mzuri wa huyo mkeyenge!Akishapanua halafu MKUYENGE unaingia...!
Kwa Tanzania mtu kuwa mwalimu maana yake alifeli either masomo yake ya kidato cha nne au cha sita,kwa hiyo Magufuli hajaanza kufeli Leo bali kufeli ni sehemu ya maisha yake,ndo maana Mambo ya familia yeye anatumia resources za serikali au chama kuzifanya,hiyo ikuoneshe tu kwamba huyu ni failure na hajui hiki ni kipi na kifanyike vipi,kwenye mkutano wa kiserikali utamuona yeye analeta Mambo ya ccm.yaani ni vurugu tu.sema tu nchi hii ina bahati mbaya haina watu ndo maana unaweza ona idara zetu nyeti zikivumilia ujinga wakeJiwe alifeli toka mwanzo kwenye Diplomasia,uchumi, ajira, na freedom of speech never na hawezi kubadilika labda aondoke.
Tatizo ubishi ujuaji na kiburi anafikiri kemia ndio inaweza kuongoza nchi.
Tungekuwa na idara makini za kiusalama uyu angekuwa yupo chato under security ili kuokoa usalama wa nchi ila kwa vile hawajui maana ya usalama watakuja kuanza kuchukuliwa hatua wao baada ya dicteta kutumia na kuwachoka.
Hapo umejikunja nakutumia akili nyingi kutaja neno demokrasia!View attachment 1388937
"Tulikuwa chipukizi wa chama cha mapinduzi,tukakulia humo,tukasomea humo hatimaye tukaja kuitumikia serekali hiyo hiyo ya chama kilichotukuza kwa weledi na upendo mkubwa,kwa diplomasia makini,kitu kilichosababisha viongozi wa kuu wa dunia kuomba kuja kutembelea taifa letu na kujifunza mambo mbalimbali.
"DIPLOMASIA YA NJE MAKINI"
"NI NGUMU KUIPATA TIJA STAHILI YA KIUCHUMI BILA UWAPO WA DIPLOMASIA YA NJE MAKINI.
*KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.*
Kweli,mtu kuwa mwalimu Tanzania maana yake huyo ni failure.sasa mtu aliyefeli darasani anawezaje ongoza nchiEti wanasema kosa n kuwapa walimu wengi nafasi serikalini
View attachment 1388937
"Tulikuwa chipukizi wa chama cha mapinduzi,tukakulia humo,tukasomea humo hatimaye tukaja kuitumikia serekali hiyo hiyo ya chama kilichotukuza kwa weledi na upendo mkubwa,kwa diplomasia makini,kitu kilichosababisha viongozi wa kuu wa dunia kuomba kuja kutembelea taifa letu na kujifunza mambo mbalimbali.
"DIPLOMASIA YA NJE MAKINI"
"NI NGUMU KUIPATA TIJA STAHILI YA KIUCHUMI BILA UWAPO WA DIPLOMASIA YA NJE MAKINI.
*KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.*
Kweli,mtu kuwa mwalimu Tanzania maana yake huyo ni failure.sasa mtu aliyefeli darasani anawezaje ongoza nchi
Mbona hao jamaa waliotoka jela juzi walipanua ukaingia na sasa wana hasira kama nini.