Bernard Membe kajiharibia sana. Angekaa kimya mpaka 2025, umri unamtupa kulingana na Katiba?

umeandika hisia zako, hakuna sehemu umejenga hoja.

kusema ni zamu ya muislamu umeitoa wapi? mbona ujawaza ni zamu ya mtu toka zenji.

unasema katiba itazingua upande wa umri ili hapo hapo unauliza inasemaje kuhusu umri mkubwa (kwa maana umeongea kitu usicho kijua).

unasema angekaa kimya, lini kasema anataka uraisi na kafanya harakati kuutaka.

eti anarudisha nyuma harakati za jpm harakati zipi? hizi hizi za kuporomosha uchumi dola imefika 2300 mkuu
 
Mbona mnajitekenya wenyewe!
Ni lini membe ametangaza kugombea uraia?
Mnaweweseka wenyewe huko CCM

Ova
 

Dr Bashiru ni mjanja sana.
Korosho
Pensheni 25%
Muswada wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa.


Wote wanacheza ngoma ya Dr Bashiru.
 
Mimi mpaka nisikie kutoka kwa BM mwenyewe kwamba anautaka uraisi then ntatoa comments zangu wakati huo.

By now, naona kama mnamlisha BM maneno yenu alafu mna-pretend kuwa yeye kasema anautaka uraisi.
 
Atawajambisha mpaka..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…