Bernard Membe kajiharibia sana. Angekaa kimya mpaka 2025, umri unamtupa kulingana na Katiba?

Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!

Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??

Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais

Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais
Taratibu za CCM huwezi kuwa Rais kama wewe si waziri katika kipindi cha kuelekea uchaguzi, Umri wa mgombea huwa ni chini ya miaka 60 sasa sema Membe anahizo sifa?
 
16 December 2018

Rostam Azim kuhusu 'utamaduni' wa CCM 2020, atoboa siri za siasa za ndani ya chama chake kila kunapokuwepo mapambano kati ya watia-nia ktk uchaguzi ngazi ya Urais kupitia CCM

Source : MCL Digital
 
taratibu za chama zinasemaje kuhusiana na mwanachama anayeanza harakati za kugombea nafasi za uongozi kabla ya muda?
 
Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!

Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??

Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais

Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais

Lakini Wa-Tz bwana huyu Musiba ndiye atuambie hizi habari za Intelligentsia ameziapata wapi kwa kutumia gazeti lake la Tanzanite mimi ninge kuwa Prof. Bashiru ningeanza na Domo kaya Mzee wa kutunga mineno Musiba Msiba mtarajiwa??
 
Back
Top Bottom