Bernard Membe kajiharibia sana. Angekaa kimya mpaka 2025, umri unamtupa kulingana na Katiba?

MEMBE ndiye chaguo la wana ccm na mamilioni ya watanzania
Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!

Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??

Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais

Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais
 
TWENDE NA MEMBE
2020 Tunaenda na BM. #KaziNaBata
FB_IMG_1543828528329.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Mbona Membe mnamuogopa Sana? Yy yupo kimya ajasema kitu chochote nyie ndio mnahangaika sana
 
Acha upuuzi na usome vizuri katiba hakuna sehemu panasema uraisi ni miaka10 kifupi 2020 twende na Membe
 
Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!

Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??

Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais

Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais
JAMAA WANAMJAZA KINGI ILI APOTEANE 2025 WACHUKUE KILAINI. NA WACHA APOTEANE ILI AJIFUNZE . wamwache mwenyekiti ajenge chama na nchi kwanza JPM go ahead.
 
mungu mtu alidhani ye ndo muweza wa yote anawahitaji sana Membe na Eddo ndo wenye influence kubwa ya kuathiri ushindi wake,hapo ni jinsi ya kuzichanga karata Tatu, Hawa wana mtandao ndo wameshika nguvu ya kisiasa ana wakati mgumu sana 2020,naona kaanza rudi rivasi kwa wanaowashwa washwa usitukane mamba kabla ujavuka hata ukirudi kuwaomba msamaha watakutafuna tu,MOI alikuwa na kila kitu plus dola Sababu ya kutukana mamba walimtafuna.
Membe anasababisha matumbo ya Kuharisha kwa baadhi ya watu...
 
Back
Top Bottom