Bernard Membe kajiharibia sana. Angekaa kimya mpaka 2025, umri unamtupa kulingana na Katiba?

umeandika hisia zako, hakuna sehemu umejenga hoja.

kusema ni zamu ya muislamu umeitoa wapi? mbona ujawaza ni zamu ya mtu toka zenji.

unasema katiba itazingua upande wa umri ili hapo hapo unauliza inasemaje kuhusu umri mkubwa (kwa maana umeongea kitu usicho kijua).

unasema angekaa kimya, lini kasema anataka uraisi na kafanya harakati kuutaka.

eti anarudisha nyuma harakati za jpm harakati zipi? hizi hizi za kuporomosha uchumi dola imefika 2300 mkuu
 
Mbona mnajitekenya wenyewe!
Ni lini membe ametangaza kugombea uraia?
Mnaweweseka wenyewe huko CCM

Ova
 

Dr Bashiru ni mjanja sana.
Korosho
Pensheni 25%
Muswada wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa.


Wote wanacheza ngoma ya Dr Bashiru.
 
Mimi mpaka nisikie kutoka kwa BM mwenyewe kwamba anautaka uraisi then ntatoa comments zangu wakati huo.

By now, naona kama mnamlisha BM maneno yenu alafu mna-pretend kuwa yeye kasema anautaka uraisi.
 
Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!

Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??

Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais

Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais
Atawajambisha mpaka..!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom