Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,344
- 6,403
Hata mimi nawashangaa wanaomlisha maneno!Lini umemsikia Membe akiongea kuutaka uraisi, hadi useme angekaa kimya
Hata mimi nawashangaa wanaomlisha maneno!Lini umemsikia Membe akiongea kuutaka uraisi, hadi useme angekaa kimya
Lissu mmemtosa?2020 Tunaenda na BM. #KaziNaBata
Nimetaja wapi chama hapo? Kwa taarifa yako mimi ni CCM damu, Maendeleo hayana chama. 2020 ni BM!Lissu mmemtosa?
ccm! Kwani yeye ni mwanachama wa chama gani? Mbona mnaweweseka sana? Katiba zote ya chama chake na ile ya nchi zinamruhusu! Apewe haki yake!kupitia chama gani
MEMBE FOR PRESDENTIAL 2020Lini umemsikia Membe akiongea kuutaka uraisi, hadi useme angekaa kimya
Hahahahhaaa
Naona mnaomba poo kwa Membe!
Mtajiju!
Atawajambisha mpaka..!Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!
Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??
Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais
Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais
Kumbe Membe nae mzee hivi
Cha ccmkupitia chama gani
maswali mengine bana; kwani BM yupo chama ganikupitia chama gani