Najua una kengeza, haya mtafute chongo akueleweshe hiyo graph inatafsiri nini!Endeleeni kijitekenya na kucheka wenyewe!
Sheria inasema ni JINO kwa JINO. Mwenzako akitoa takwimu zinazombeba na wewe toa!Sheria inasemaje wataalamu wa sheria
Kaweka za kwake nae ajifariji kidogo, maana mpaka sasa ameshindwa hata kufanya kampeni sasa huyo nae nani anamjari?Haya wale Wazee wa Takwimu bila kibali wamkamate na Membe sasa.
Sheria gani unazungumzia? Zile kandamizi zilizotungwa kwa dharula maalumu ya kudhibiti waangalizi huru?Sheria inasemaje wataalamu wa sheria
Daah,nazungumzia sheria ya kujitoa kwa mgombea,nijibu kwa fact bas acha kujibu kama unafukuzwaSheria inasema ni JINO kwa JINO. Mwenzako akitoa takwimu zinazombeba na wewe toa!
Duh aisee unajidanganya sanaHaya wale Wazee wa Takwimu bila kibali wamkamate na Membe sasa.