Chechetuka
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 549
- 44
Membe atakuja New York na tuone hayo maandamano, labda umzomee ukiwa chumbani kwako, thubutu utoke nje uone kilichonyoa kanga manyoa, unafanya mchezo wewe?
Nyinyi si vibaraka wa Marekani tu, si ajabu hata Tanzania huijui. Hao Marekani na NATO wanakudanganya. Ni wauaji, wananyemelea maliasili ya frican resources for Africa. He was sentensed by your Ameracans and NATO because of his just African course.
As for Membe hiyo statement aliyoitoa inawakisha mawazo ya Watanzania minus wapuuzi nyie na wenzako. Kwani kama ni udikteta huo unaofanywa na Marekani na NATO kuutiisha ulimwengu kwa maslahi yao utauitaje.
UMENISIKITISHA KUPINDUKIA KAMA MPO NA WENZIO FIENI HUKO HUKO KWANI HAMANA HATA CHEMBE MOJA YA UAFIRIKAn ACHA UTANZANIA.
F.u.ck you wewe ulioko Tegeta unatuzuga na Marekani yako
ni udsm tu ndo wanaoliweza hlo,watu wa usa ni wazandik
Mtakalia hayohayo kulalama kwamba mnaonewa huku wengine wanapiga hatua.
Ghadafi kaondolewa na wananchi wa Libya kwa utawala wake wa kishenzi.
Hatumhitaji mtu kama Ghadafi Afrika. Mi niko hapa hapa Tz lakini najua tatizo c wazungu kwa kutoendelea kwa Afrika bali Waafrika wenyewe kutokana na viongozi kama Ghadafi na mawazo mfu ya mwafrika ya kuamini matatizo yake yanasababishwa na wazungu.
Hivi tulimwona Ghadafi akitangaza bila aibu yoyote ya kuwaua raia zake na akaanza kufanya hivo ulitaka wazungu wakae kimya halaf badae muanze kuwalaumu kama kawaida yenu? Hawakutusaidia kumzuia Ghadafi asituue!!! Ningekuwa viongozi wapya ws Libya ningefunga kabisa mahusiano na serikali hizi dhalimu za Kiafrika zisizoguswa na mauji ya raia. Eti Ghadafi kuua raia ni sawa hata awateketeze kwa mabomu ya sumu ila kumwondoa madarakani kwa vitendo hivo ni haramu.
Membe anafaa kuzomewa sana. MBONA YEYE NA KILAZA WAKE JK HAWAKUMKEMEA GHADAFI ALIPOKUWA ANAUA RAIA WAKE?
Nawapongeza wazungu na wasiishie tu kwa Ghadafi ila kwa mafadhuli wengine katika club cha pombe cha AU.
Kaka kwenye nyekundu mimi simo,
Ni bora niitwe MPUUZI,
Asante kwa MATUSI yako.
asikanyage nyie kwenu huko
Kwa ufupi wewe ni FIMBO YA MBALI huwezi kuua nyoka. Na kwa sababu hiyo hatutaweza kamwe kuongea lugha moja kwa habari ya kuleta maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Hii tabia ya kujidai unaungana na Wamarekani kummwona Gaddafi kama mtu ambaye hajawahi kuwa na mchango wowote kwa maendeleo ya Libya na Afrika ni kielelezo kwamba si mwenzetu. Sisi huku hatujafurahia kifo cha Gaddafi kuuawa vibaya kuliko kibaka. Angalau wangemwacha angalau aende The Hague kuheshimu yote aliyoitendea Libya ikiwemo kujenga mto wa kilometa 500 chini ya jangwa
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.
Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.
Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.
KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE