Bernad Membe Ole Wako Utie Mguu Wako Hapa New York, Tutakuzomea Kabla Ndege Haijatua!

wewe ni kibaraka tu huna lolote.si ajabu huko ukawa unafanya kazi za ndani yani house boy au house girl.unakurupuka kutoka usingizini unakuja kuandika madudu apa?ushindwe.kwa taaifa yako Gaddafi ni shujaa wa karne na historia yake haitafutika milele.walibya waliishi maisha ya raha lakini wamepandikiziwa wadudu wabaya/mamluki waloeka ngome pale benghazi.na watajutia walokifanya.
 
mmeshakua vibaraka wa marekani acheni zenu mbovu,mbona jk amkutendea km jinsi mlivyosema apa JF!
 
hata nyie wa ny ni vibaraka tu,
sijui kwanini obama asianzie kwenu.
yale maandamano ya jk yako wapi.
 
Sikuwahi kumuunga mkono Gadaf na so called ukombozi wa Afrika hata kidogo.Alikuwa ni mbaguzi wa Waafrika weusi na kwa maana hiyo watu wasiokuwa waislamu. Alipendelea muungano wa nchi za kiharabu lakini ndoto ya kujenga himaya ya kiharabu iliposhindwa na yeye alikuwa ni international reject ndipo akageuzia juhudi hizo Afrika kusini mwa Sahara. Alikuwa anatumia nguvu ya pesa kuwaendesha maraisi wa Afrika. Si mfano mzuri wa kuigwa.

Hata hivyo siwaungi mkono wanajiita Watanzania wanaotaka kumzomea Membe.Msimpe sifa ya bure kwani hata siku moja hajawahi kuwa na hoja ya msingi. Ana silika ya wivu na chuki kwa wale anaowaona kama washindani wake kisiasa. Kama mnaguswa na hali ya Tanzani na nyumbani Afrika kwa ujumla ondoeni upofu wenu na mkaione Tanzania ktk picha halisi. Tanzania iliyokosa uongozi wenye upeo. Tanzania inayoongozwa kwa jeuri na kejeli. Kama mlitka kuzomea kwa dhati ya mioyo yenu anza kumzomea Kikwete.Muulize safari zote alizopiga nje ya nchi kiasi cha kuitwa VASCO DA GAMA zimewanufaishaje Watanznaia watoke ktk kuishi chini ya dola moja kwa siku? Aliwahi kuulizwa kwa nini TZ ni maskini akajibu nanyeye hajui sasa yeye ni rais ama ni picha tu .Unawezaje kupigana kwa nguvu zote halali na zisizokuwa halali kuupata uais na hali hujui Watanzania utawafanyia nini? Huyu ndiye wa kuzomewa na wazalendo watawaelewa watasema tunao wentu ni diaspora.

Tunawakaribisha muone mbali na ushabiki na urefu wa pua zenu.Kuishi nje si kwamba unapata akili sana ila unapata exposure ambayo tunategemea uitumie vizuri kufanya maamuzi optimal
 
Ingawa siiungi maneno ya Membe kuhusu Gaddafi, ila pia siungi ubabaishaji wa huyu Yankees.
Pia siungi wanaomtetea Gaddafi na kuilaani NATO. Kwani NATO ndiyo waliomwambia Marehemu Gaddafi
awe Rais wa maisha or call it a dictator? Gaddafi got what he desrve. There is room for tyrants in this
century, Mugabe and cronies watch out!
 
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.


Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE

Hili ni tamko lako binafsi, usiseme sisi........ Unaonekana kuwa na chuki binafsi tu na Uislam. Ukisema dunia nzima imemshangaa Membe tena eti mseminari aliye potoka huo ni usenge, kwa kuwa kuuawa kwa Gadaff hakuna uhusiano na Uislam. Acheni udini, washamba nyie.
 
nyie tutawazomea mkiwa hukohuko tena msije kabisa huku pumbav zenu...............
 
Ingawa siiungi maneno ya Membe kuhusu Gaddafi, ila pia siungi ubabaishaji wa huyu Yankees.
Pia siungi wanaomtetea Gaddafi na kuilaani NATO. Kwani NATO ndiyo waliomwambia Marehemu Gaddafi
awe Rais wa maisha or call it a dictator? Gaddafi got what he desrve. There is room for tyrants in this
century, Mugabe and cronies watch out!

Ila Unaunga Mkono NATO walipokuwa wakibomb Makazi ya watu na kuua Raia au vipi?
 
Hi fellow members excluding that fool in NY Huyo mpumbafu kwanza ajitaje mwenyewe na sio sisi waTanzania coz hakuna liyejuilsihwa kama ni mwakirishi wao, pili aliyoyasema Mh Membe has nothing to do with Islam, tatu kutoka kwa Membe seminari is non of your business.

Now haya tunayo yaona nduguzangu ni manifestation za interest za hao wazungu. Wao wenzetu wanakua wanafanya yote wakiangalia interest zao tuu so kama to them you are still an asset watakubeba ila ukishaonekana unaelekea kuwa a liability they do away with you with the help of a few fools among us basi utaitwa dictator,corrupt with a very bad HUMAN RIGHTS record wakati huko kwao wanayoyafanya ni 1000 times worse kushinda yetu sema sisi sababu ya ujinga we expose our foolishness wakati wao however foolish one is wanayamalizia ndani kwa ndani kulinda maslahi ya nchi Zao in general hii ina maanisha wako patriotic kutushinda.

Angalieni jiranizetu Uganda, Konny na hao vibaraka wake wana miaka sio chini ya 15 wanaua, wana rape, wanachoma nyumba za innocent people lakini Marekani pamoja na kuwa Museveni alikua a darling of the US hawakuwahi kufanya kitendo cha kutuma wanajeshi huko ila kutamka kama Konny's LRA ni a terrorist group, lakini ona mafuta yalivyo gunduliwa Uganda, miezi michache tu hao wanajeshi 100 wakusaidia UPDF kuwinda Konny, mnajua kwanini?

wanaogopa mchina asije akawatangulia. So mpumbafu kama huyo anayesema eti Membe akija watamzomea, angeanza kujizomea mwenyewe kwa pumba alizoandika na kuonyesha how stupid a person he is and how so unpatriotic coz angekua anapenda nchi yake angetoa masikitiko yake na kueleweshana badala ya kujiweka tayari kuzomea mtu(hope the writer is bellow 18yrs), kama yuko above then he has a long way to go.

To all fellows, watu kama hawa ingekua vyema wasijibiwe coz in their foolish minds wanaweza kujiona wa maana while ni madebe matupu tu. Wanasemaga DON'T ARGUE WITH A FOOL, PEOPLE MAY NOT NOTICE THE DIFFERENCE
 
Back
Top Bottom