Kuilinganisha Hammer na RR ni sawa na kuifananisha Simba Sports Club na Real Madrid.
Hammer hata bei zake ni mchekea tu, na ndo maana hazitengenezwi tena sababu haziuziki labda bongo tu
Naamini watu wanaobisha hapa wamewahi endesha haya magari tajwa... hata hilo la concept!!!
Hapo ndipo panapochosha kwa maana hiyo gari ni concept na haijatoka bado lakini Mtu anakwambia kwamba haiwezi kufikia level sijui ya Gari gani sasa sijui wanapata wapi hizo details!
Tehe watu hawana hata baiskeli hapa,,mie siwezi sema lolote. Maana katika biashara mbadala wa kitu huwa kuna factors nyingi. Sasa muonekano tuu sio factor ya msingi,unless waje na vitu vinavyoiacha mbali RR. RR ataaisumbua dunia hii kwa miaka mingi.
Kwahio ulitaka tukukubalie tu kuwa hio ni RR killer?! Tushaona walichotengeneza VW before so far hamna jipya....na kama unajua magari vizuri VAG gari zote basically ziko saw a! Vw golf,bora,jetta,touran ukiingia deep ni gari moja! Touareg/Q7/Cayenne basically ni gari moja! Kwahio na hio Bentley watapitia humo humo kwenye msururu wao.
Mimi nafikiri una tatizo la ushabiki na unaipenda range rover na umeshajiaminisha kwamba Range Rover ndiyo gari na hakuna na haitakaa itokee gari kama range rover ambapo ni sawa kwa maana ni maoni yako lkn kwa taarifa yako tu range rover ina matatizo sana na siyo gari reliable, ina technical problem nyingi sana na wanashindwa kuuza kufikia malengo na kutengeneza faida na ndio maana hata Ford waliiuza kwa TATA kwa maana walishindwa kutengeneza faida kutokana na mauzo hafifu, wateja wengi wa Range Rover wanashindwa kuiuza baada ya muda fulani kwa maana ina resale value ndogo sana ukilinganisha na bei uliyonunulia sasa kwenye Car industry hivi ni vitu muhimu sana Mtu anaponunua gari huwa anaangalia resale value ya gari anayonunua kama unanunua gari kwa Dola 90 000 halafu baada ya miaka mitano huwezi hata kuiuza kwa dola 20 000 hiyo ni hasara!
Lakini ukinunua BMW X5 leo kwa dola 50 000 baada ya miaka mitano bado utaweza kuiuza kwa hata Dola 30 000 ina resale value kubwa na ndio maana BMW X5 wanauza sana kwa sababu iko reliable technically kwa wateja wao!
Hivyo Range Rover ni gari nzuri lakini technically bado hawaja perfect na wana matatizo sana kwenye reliability kwa wateja wao!
Huyu mnyama RR ukicheki hapo utapata kuona japo kwa uchache namna ungetamani kuiendesha kama si kuimiliki hii gari Range Rover.
Mkuu Bulldog, Mshana Jr na PRONDO ukicheki edition mpya ya Range rover 2014 kati ya sport na Vogue naona wame cheza vizuri zaidi kwenye vogue iko more spacious kuliko sport , ila all in all I'll go for Range Rover Autobiography that's my best automobile of all time.
Sio ushabiki,na deal na hayo magari kila siku! Lakini ngoja niishie hapa maanake umeamua kuwa personal.
Don't be afraid of the gap between dream and reality if you can dream
Alitimuliwa akarudishwa ila ameambiwa atengeneze kipindi chake kingine from scratch.
Hummer ni military vehicle kaka, haikutengenezwa kwa nia ya kuwa luxury SUV ila ubishi wa binadamu wameigeuza kuitumia ki-luxury. Hata hvyo hizi hummer 3 hazina nguvu kwenye milima hasa kwenye zile barabara mbaya zaid.
Sio lazima uwe nayo ili kuendesha! Unaweza kuwa fundi magari Kama Mimi au kama Una confidence u can go for test drive! Its not a big deal
Kama umeona nimekushambulia basi pole! Lkn nimejaribu tu kuelezea na kuweka ushabiki pembeni, kwamba range rover (labda kwa muonekano!) ni gari nzuri lkn technically ina matatizo na haiendani na bei yake na ndio maana wanashindwa kuuza na kufikia malengo ukilinganisha na gari nyingine! Ukinunua Range rover mpya mwisho wa siku itakusumbua tu na utashindwa kuiuza ili uongezee kidogo ununue gari nyingine! Ndicho nilichomaanisha!
Tatizo kubwa la RR watu wengi wanalisema ni Electrical Problem sijafuatilia kama wamelisolve au la.
Kuhusu resale value kuwa ndogo au kubwa sijui chochote kwasababu hizi haziwi mass produced kama magari ya toyota. Na ni special kwa watu wa class fulani ndo maana hata maintainace yake ni bab kubwa.
Duh! wewe mshikaji Gari hata haijatoka umeshakuja na majumuisho? hayo yote uliyoyaongelea umeyapata wapi?
Sio inamilikiwa na mhindi bali ina be powered na tata by certain auto part au parts company za magari zina division of manufacturing za auto parts zake mfano Buggati Veyron imetengenezwa na company ya Ferrari na Marcedes Benz na break zimetengenezwa naRange rover ina milikiwa na mhindi siku hizi (Tata).Very soon wata badilisha jina kuwa (range rover tata), nimeona kwenye mashine za Hitachi siku hizi zinaitwa Hitachi tata.
ila Range rover rhumor ni kiboko yao