Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Kampuni ya Volkswagen (VW) ambayo ndiyo Kampuni ya pili kwa Ukubwa Duniani baada ya Toyota kwa uundaji wa magari wanakuja aina Mpya kabisa ya gari aina ya Bentley Bentayga ambayo ndiyo itakuwa mshindani Mkubwa wa Range Rover ambaye mpaka sasa hivi amekuwa kama vile hana mshindani kwenye medani za SUV!
VW watazindua Bentley Bentayga hapo mwezi Septemba 2015!
Hizo picha ni concept tu ya jinsi labda itakavyokuwa kwani mpaka sasa hivi hakuna aliyeiona hiyo mashine ya Ukweli!
VW watazindua Bentley Bentayga hapo mwezi Septemba 2015!
Hizo picha ni concept tu ya jinsi labda itakavyokuwa kwani mpaka sasa hivi hakuna aliyeiona hiyo mashine ya Ukweli!