maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,277
- 5,514
he ina maana hata akiombwa naniliu mkuu?Bashe amefikia mahali anamuheshimu Alfred Lowasa kuliko baba yake mzazi.... Hata akiombwa kitu gani atatoa au kufanya

Nikiongezea hapo Mkuu elimu ya mtuu vile vile iwe yard stick kumchagua, tuache ushabiki swala EAC ni very crucial hasa pale wenzetu yaani Partiner States wanapo ngangania swala la ku fast track EAC Integration. Wanatakiwa wabunge makini wenye uzalendo wa Kitanzania moyoni sio mladi watu kwa interest za watu fulani fulani!!!! Tena naomba Mheshimiwa Raisi kwa kutumia vyombo vya dola kuvet na kupata cream iliyo bora ichaguliwe kwa ajili ya maslahi ya nchi yetu kwenye bunge hili la ushindani!!!!!Ni jambo la hatari sana kuchagua mtu anayetakiwa kusimamia interest za nchi kwenye regional block and beyond kwa ushabiki.Watu wa aina hiyo ni maadui wa Taifa hili.....ningeweza kutunga sheria ya kuwafunga jela maisha wanaotaka ku-compromise national Interests ningefanya hivyo.
Tufikie mahala tumchague mtu wa aina hiyo on merits.Interest za vijana wa Tanzania au generation ya sasa and beyond ndani ya EAC,Africa na duniani iko at stake.Tunahitaji uwakilishi uliotukuka kulinda maslahi ya Tanzania,jumuiya na Africa kwa ujumla.Tukiwa na watu wanaopelekwa kishabiki au kwa maslahi ya wachache basi watu hao hawafai kwani watakuwa watu wa kwanza kutusaliti na hata kununuliwa na maadui wa Africa hasa mabeberu ili kulinda maslahi ya mabeberu.
Kuna wagombea ambao walishindwa kwa nafasi zao kutetea maslahi ya vijana lakini wanataka nafasi ambazo ni more complex.Hebu tuwe serious sasa.Kuna watu kwa nafasi zao wameshindwa kutetea kuanzishwa baraza huru la vijana ndani ya mipaka ya Tanzania lakini wanataka watetee maslahi ya vijana na taifa kwa ujumla nje ya mipaka ya Tanzania.
Tunahitaji watu wenye uelewa na wenye uwezo wa kutoa mawazo mapana at global perspective kuhusiana na interests zetu.Lengo la Intergration ni kuleta harmonization ya resources kwa maslahi ya member states na wanananchi wake kwa kuzingatia demographic composition.Ni lazima tuwe makini ili tusilundikwe kwenye kapu moja kimkakati na maadui wa Africa kwa jina la Muungano au jumuiya.Kuna mapungufu makubwa kwenye itifaki hii ya EAC tulishasema hapa sana miaka miwili iliyopita.Wabunge wa Tanzania EAC hatujui wanasimamia nini.Ofcourse inaeleweka kwamba kwenye regiona intergration ni lazima kila mmoja ajitoe sadaka kwa ajili ya wote na kuwekeza kwenye fursa zilizopo kwa faida zaidi(comparatively),but Tanzania as a determined member state should burgain,ni lazima tuwe na lion share kwenye EAC interms of distribution of resources.Nothing more nothing less !
Nawasihi chama cha mapinduzi,vyama mbadala na makundi ndani ya vyma hivyo tuache mzaha na suala nyeti kama hili..
Nikiongezea hapo Mkuu elimu ya mtuu vile vile iwe yard stick kumchagua, tuache ushabiki swala EAC ni very crucial hasa pale wenzetu yaani Partiner States wanapo ngangania swala la ku fast track EAC Integration. Wanatakiwa wabunge makini wenye uzalendo wa Kitanzania moyoni sio mladi watu kwa interest za watu fulani fulani!!!! Tena naomba Mheshimiwa Raisi kwa kutumia vyombo vya dola kuvet na kupata cream iliyo bora ichaguliwe kwa ajili ya maslahi ya nchi yetu kwenye bunge hili la ushindani!!!!!
Ni jambo la hatari sana kuchagua mtu anayetakiwa kusimamia interest za nchi kwenye regional block and beyond kwa ushabiki.Watu wa aina hiyo ni maadui wa Taifa hili.....ningeweza kutunga sheria ya kuwafunga jela maisha wanaotaka ku-compromise national Interests ningefanya hivyo.